sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.
Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.
Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.