Mulokozi mnayemsifia billionaire si alikuwa diaspora?
Vinginevyo mnataka watu waletę hela gani.
Wengine hawashindwi kuleta hela huko, lakini sio kwa serikali ya sasa.
Diaspora serious ili kuwekeza Tanzania wanataka usimamizi wa nchi kama wa Magufuli.
Watanzania ni tatizo, hata huko walipo usidhani diaspora wote hasa wenye mafanikio wanaongea na kila raia wa nchi zao.
Ni stress lakini si kwamba kuna diaspora hawajui yule dada wa ki-Ghana aliyefungua kiwanda cha machungwa Muheza kikafunguliwa na ‘bi-tozo’ na kuajiri source yake ya fund.
If anything fund ya yule dada ilikuwa ni kwa ajili ya miradi ya Tanzania tu kupitia source yake ya serikali vinginevyo angeenda wekeza kwao Ghana. Same waganda, wakenya na diaspora wengine wanaowekeza Tanzania source ni hizo hizo.
Sio kwamba watanzania hawajui sources, isipokuwa hao watu hawaijui Tanzania kama watanzania wenyewe. Watanzania wakifikiria hadithi za vibali, kusimamia mradi wenyewe (kwa kuelewa culture yetu) government bureaucracy, energy shortages na mlolongo mwingine wa kero it’s not worth it kwao.
May be we are not ambitious, lakini siasa zetu pia ni kikwazo.