Zitto Kabwe: Diaspora hawatumi pesa nyumbani, kazi yao ni kukesha Clubhouse

Zitto Kabwe: Diaspora hawatumi pesa nyumbani, kazi yao ni kukesha Clubhouse

Inasikitisha sana, inafedhehesha sana kwakweli.

Infact,
Serikali ya Tanzania inawatambua waTanzania wanaoishi ughaibuni, na tayari uko utaratibu maalumu wa kuwatambua kisheria,

kwahiyo hakuna haja ya wadau kuibua visingizio ambavyo havipo.
watume pesa na mali kwa ndugu jamaa na marafiki zao tahadhari, waache ubahili 🐒
inakuwaje zito alalamike sana ruhusuni haraka mambo yaneda
 
Dispora wa tz ni maskini, hawezi mtu kutoka kwenye mfuko wa ujamaa akafanikiwa mfumo wa kibepari
 
Leteni pesa. Tumezoea per diem, nyie mnatufanya tuna kesha bure na mijadara haina substance yoyote.
 
Pesa nitafute mwenyewe halafu Kuna mtu hamjawahi hata kuajiliwa anataka anipangie matumizi ya kuzitumia
 
Sio kazi ya Diaspora kuwaletea pesa nyumbani. Hiyo ni kazi ya serikali yenu.

Kwanza mmeweka vikwazo vingi kwa Diaspora hata kutoa uraia pacha hamtaki. Mnataka hela tu!!

Gaddamit!!

Wakenya wana uraia pacha, mtu anaweza kuwekeza huku na huku kwa uhuru bila bugudha.
 
Utume hela zije kugawiwa kama njugu na Sa100 kwenye magoli ya Simba na Yanga......
1002341822.jpg
 
Sio kazi ya Diaspora kuwaletea pesa nyumbani. Hiyo ni kazi ya serikali yenu.

Kwanza mmeweka vikwazo vingi kwa Diaspora hata kutoa uraia pacha hamtaki. Mnataka hela tu!!

Gaddamit!!

Wakenya wana uraia pacha, mtu anaweza kuwekeza huku na huku kwa uhuru bila bugudha.
Kila mtu atengeneze pesa zake na matumizi tusipangiane.
 
Zitto ni mzito mnoo kama akili zake

Hela zao wazitume wapi wakati serikali yao haiwatambui na haijaweka mifumo salama ya fesha?

Wanawwtumia ndugu zao na wanadhulumiwa vibaya mno. Anataka hizo fedha atumiwe yeye?

Jamaa ni bogus sana. Hana reasoning brain
Hapa kachemsha...
 
Wapeni uraia pacha kwanza ndio muwe na legitimacy ya kudai ndururu zao
 
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.

Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.

View attachment 3188343

Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.
Zitto angekuwa na akili sijuwi hii nchi ingekuwa wapi?
 
Team Lissu punguzeni matusi kwa Zitto mkimkerea akagoma kumpokea Lissu bosi wenu anawezaishia TLP
 
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.

Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.

View attachment 3188343

Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.
Angeanza kupiga kelele kwanza watanzania tupate passport kwa urahisi bila kulazimika kutoa rushwa tungemuona wa maana sana
 
Back
Top Bottom