Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Tunazungumzia pesa za uwekezajWanatuma sana tuu sema ni wachache Kwa sababu Watanzania hawapendi kusafiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunazungumzia pesa za uwekezajWanatuma sana tuu sema ni wachache Kwa sababu Watanzania hawapendi kusafiri
Hao watu sahihi sasaJichanganye na watu sahihi, ulaya deal kila kona kiongozi.
Zitto ni mpumbavu tena karithi upumbavu kutoka kwa baba yake na mama yake labda amuwajui wazee wake walikuwa je😁😁😁😁Zitto ni mzito mnoo kama akili zake
Hela zao wazitume wapi wakati serikali yao haiwatambui na haijaweka mifumo salama ya fesha?
Wanawwtumia ndugu zao na wanadhulumiwa vibaya mno. Anataka hizo fedha atumiwe yeye?
Jamaa ni bogus sana. Hana reasoning brain
Kupiga siasa mitandaoni ni haki yao ya kikatiba na kibinadamu. Na inawezekana kabisa wako busy na maisha yao wanakwenda Clubhouse ku unwind kwa kuongea siasa za Bongo.Diaspora nao wangekuwa bize na maisha yao badala ya kupiga siasa mtandaoni. Kuhusu kutuma hela hapo ni jambo lingine linalohitaji umakini. Wabongo wengi tuna changamoto ya uaminifu. Watu walichangia Join the Chain ya CHADEMA bila kujua wanachangia hela za kujenga hekalu la Mbowe na baadhi ya chawa wake.
Yaani Magufuli aliyekuwa anapota pesa za watu ndio anatakiwa na diaspora gani? 😆😆😆😆😆Mulokozi mnayemsifia billionaire si alikuwa diaspora?
Vinginevyo mnataka watu waletę hela gani.
Wengine hawashindwi kuleta hela huko, lakini sio kwa serikali ya sasa.
Diaspora serious ili kuwekeza Tanzania wanataka usimamizi wa nchi kama wa Magufuli.
Watanzania ni tatizo, hata huko walipo usidhani diaspora wote hasa wenye mafanikio wanaongea na kila raia wa nchi zao.
Ni stress lakini si kwamba kuna diaspora hawajui yule dada wa ki-Ghana aliyefungua kiwanda cha machungwa Muheza kikafunguliwa na ‘bi-tozo’ na kuajiri source yake ya fund.
If anything fund ya yule dada ilikuwa ni kwa ajili ya miradi ya Tanzania tu kupitia source yake ya serikali vinginevyo angeenda wekeza kwao Ghana. Same waganda, wakenya na diaspora wengine wanaowekeza Tanzania source ni hizo hizo.
Sio kwamba watanzania hawajui sources, isipokuwa hao watu hawaijui Tanzania kama watanzania wenyewe. Watanzania wakifikiria hadithi za vibali, kusimamia mradi wenyewe (kwa kuelewa culture yetu) government bureaucracy, energy shortages na mlolongo mwingine wa kero it’s not worth it kwao.
May be we are not ambitious, lakini siasa zetu pia ni kikwazo.
Kwani huko Kenya ni pesa za uwekezaji? Ni pesa wanazotumia ndugu zao zinakuja in form of forex ambayo ni source ya forex Kwa SerikaliTunazungumzia pesa za uwekezaj
MtihaniHao watu sahihi sasa
Haya Mkuu Asante
Pesa zenyewe ndio tuletewe watanzania sisi tinaoamini kuiba ndio kufanikiwa kwetu.Bora zisije kuibiwa.Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.
Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.
View attachment 3188343
Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.
Nimemuelewa na nimeelewa hojaMkuu ulichoandika umewaza mara mbili? Nani amekwambia diaspora and the like hawatumi pesa kwa wazazi wao? Umejuaje na kwa factor gani? Hoja aliyojibiwa Jepesi Kabwela ni hoja jumuishi, akimaanisha watu watume pesa za maendeleo ya nchi kama nchi, mfano investment, na sio kutuma hela (ya kula) kwa wazazi kama ambavyo unajaribu kusema.
Ntashukuru sanaMtihani
Kama upo serious nitawatafuta kwa niaba yako; kwangu ilikuwa zamani.
Ila deal aziishi UK nikipata maeneo, nitakupa habari PM.
Bila shaka ni nmb hao,Mapema mwaka huu 2024 nilishuhudia mteja mmoja benki "akigogora" kwa sauti sana na Teller kisha manager. Kisa alizuiliwa "ku-withdraw" fedha alizotumiwa akitakiwa aeleze anazipeleka wapi.
Ok OK MkuuNimemuelewa na nimeelewa hoja
Na nimejibu one specific aspect ya hoja because niliyemjibu alitaka kuhamisha mada
Sema kiongozi siyo mwanasiasa.Zitto Kabwe ameingia katika mtego wa watu wengi wajinga wa kuabudu pesa, kushindwa kuchunguza mambo kwa kina, na kutoa kauli znazoongozwa na chuki.
Mwanasiasa anayetoka nchi yenye masikini wengi kuwanyanyapaa watu kuwa ni masikini ni ujinga.
Mwanasiasa anatakiwa kuwanyanyua watu wake, kuwapa matumaini, kuwaonesha njia. Si kuwasimanga kwa maneno ya jumlajumla yanayoongozwa na hisia za chuki zaidi ya mantiki.
Anaonesha haielewi nchi yake, hajielewi yeye mwenyewe na hawaelewi diaspora.
Zitto si kiongozi. Si kiongozi mzuri anyway.Sema kiongozi siyo mwanasiasa.
Hawa karibu wote walio ktk madaraka ya siasa na serikali siyo viongozi.
Kuna tofauti kubwa zisizo mkabala kati ya Leader na Manager. Wote maowaita viongozi siyo viongozi ni ma manager
Nihamishe hela kutoka Absa bank SA iingie Tanzania hao DRD unawajua au unawasikia mazee hayo magari tu tukileta ya biashara wanakufungia TIN namba mpaka utoe maelezo ya kutosha na rushwa..Hakuna kutembea na mafurushi ya pesa ,tuma
Ccm imejaa mapumbavu kama viongoz wao 🪛 🪛 🪛 🪛 🪛sasa wanajadili nini huko clubhouse kuhusu Tanzania kama hawatambuliki?🤣
hiyo si ni kupoteza muda tu gentleman? 🐒