Zitto Kabwe: Diaspora hawatumi pesa nyumbani, kazi yao ni kukesha Clubhouse

Zitto Kabwe: Diaspora hawatumi pesa nyumbani, kazi yao ni kukesha Clubhouse

Do you want the government kukutambua ndio utume pesa Kwa mama au baba?
Inasikitisha sana, inafedhehesha sana kwakweli.

Infact,
Serikali ya Tanzania inawatambua waTanzania wanaoishi ughaibuni, na tayari uko utaratibu maalumu wa kuwatambua kisheria,

kwahiyo hakuna haja ya wadau kuibua visingizio ambavyo havipo.
watume pesa na mali kwa ndugu jamaa na marafiki zao tahadhari, waache ubahili 🐒
 
Mulokozi mnayemsifia billionaire si alikuwa diaspora?

Vinginevyo mnataka watu waletę hela gani.

Wengine hawashindwi kuleta hela huko, lakini sio kwa serikali ya sasa.

Diaspora serious ili kuwekeza Tanzania wanataka usimamizi wa nchi kama wa Magufuli.

Watanzania ni tatizo, hata huko walipo usidhani diaspora wote hasa wenye mafanikio wanaongea na kila raia wa nchi zao.

Ni stress lakini si kwamba kuna diaspora hawajui yule dada wa ki-Ghana aliyefungua kiwanda cha machungwa Muheza kikafunguliwa na ‘bi-tozo’ na kuajiri source yake ya fund.

If anything fund ya yule dada ilikuwa ni kwa ajili ya miradi ya Tanzania tu kupitia source yake ya serikali vinginevyo angeenda wekeza kwao Ghana. Same waganda, wakenya na diaspora wengine wanaowekeza Tanzania source ni hizo hizo.

Sio kwamba watanzania hawajui sources, isipokuwa hao watu hawaijui Tanzania kama watanzania wenyewe. Watanzania wakifikiria hadithi za vibali, kusimamia mradi wenyewe (kwa kuelewa culture yetu) government bureaucracy, energy shortages na mlolongo mwingine wa kero it’s not worth it kwao.

May be we are not ambitious, lakini siasa zetu pia ni kikwazo.
 
Do you want the government kukutambua ndio utume pesa Kwa mama au baba?
Uraia pacha huko ndo kutambulika kwenyewe

Financial System securities, unadhani fedha zinakujaje kwenye nchi ambayo rais anajimilikisha hazina ya Taifa na kutilazimisha tumshukuru yeye kwa kutoa fedha ambazo ni kodi zetu kutumika kwenye miradi ya maendeleo

Unataka baba na mama za Diaspora ndo wawe benki za hizo fedha?

CCM na akili ni paka na panya
 
..Kenya wana diaspora wengi kuzidi Tanzania.

..Hali hiyo ni moja ya sababu zinazopelekea Kenya kuwa na mapato makubwa toka diaspora kuzidi Tanzania.
 
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.

Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.

View attachment 3188343

Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.
Huyu naye eti ni kiongozi wa chama cha siasa?

Unalazimisha watu watume hela, wasipotuma ni masikini?

Hajui kwamba hata wakiwa masikini bado wana haki ya kutoa maoni yao Clubhouse?

Hajui kuunganisha hoja ya umasikini na kuongea Clubhouse ni logical non sequitur fallacy?
 
Sisi tuna Bank huku ambazo hata ukiweka kwa miaka yote hulipii hata senti labda uchague aina ya savings
Sasa huko kwa huyo jamaa wa kigoma afungue bank yake bila wizi kama haikujaa

Kwanza hilo la clubhouse mimi kama mimi wala siijui ni nini
Kutuma hela kwani kuna mfuko wa serikali wa kuweka mpaka ajue zimetumwa ngapi?
Awaambie hao hao wanaoshinda huko
 

Nenda hapo ☝️au register nao utapata funding round zote notification. Kama ni permanent resident wa UK it’s even easier.

Hela zingine inabidi ulipe kwa riba ndogo.

Nchi kama US nje ya US-Aid kuna taasisi kibao zenye misaada kama hiyo ndio wakenya wanatumia.

Sio kwamba watanzania hawajui source of capitals, ni siasa zetu na akili za washirika wetu (ndio zinatia uvivu kufuatilia). Hapo unakutwa tumetengewa £10 million watanzania wenyewe don’t apply.

Otherwise it’s nothing special
 

Nenda hapo ☝️au register nao utapata funding round zote notification. Kama ni permanent resident wa UK it’s even easier.

Hela zingine inabidi ulipe kwa riba ndogo.

Nchi kama US nje ya US-Aid kuna taasisi kibao zenye misaada kama hiyo ndio wakenya wanatumia.

Sio kwamba watanzania hawajui source of capitals, ni siasa zetu na akili za washirika wetu (ndio zinatia uvivu kufuatilia).

Otherwise it’s nothing special
Asante sana kwa kuliweka hili
Kuna fursa nyingi ila wabongo maneno mengi
Sijaona Tz katika fund zote hizo daa
Mkuu bora uwafungue kidogo
 
Kama kuna namna yeyote Diaspora wa Kenya wanafanya vizuri kuliko wa Tanzania itakuwa ni policies, na bad leadership ya Tanzania
Zitto Kabwe ameingia katika mtego wa watu wengi wajinga wa kuabudu pesa, kushindwa kuchunguza mambo kwa kina, na kutoa kauli znazoongozwa na chuki.

Mwanasiasa anayetoka nchi yenye masikini wengi kuwanyanyapaa watu kuwa ni masikini ni ujinga.

Mwanasiasa anatakiwa kuwanyanyua watu wake, kuwapa matumaini, kuwaonesha njia. Si kuwasimanga kwa maneno ya jumlajumla yanayoongozwa na hisia za chuki zaidi ya mantiki.

Anaonesha haielewi nchi yake, hajielewi yeye mwenyewe na hawaelewi diaspora.
 
Asante sana kwa kuliweka hili
Kuna fursa nyingi ila wabongo maneno mengi
Sijaona Tz katika fund zote hizo daa
Mkuu bora uwafungue kidogo
Kiongozi kuna maeneo ukienda (kama una marafiki) sahihi. Hapo mnapeana deal tu.

Mara ya mwisho walikuwa wana kutana mitaa ya Victoria station nilikuwa na rafiki mghana miaka 10 iliyopita alikuwa anataka niende sana kwenye hizo session huko (diaspora wa nchi zote za Africa wanakutana na kupeana deals walizokamata) unaweza pewa deal mtu anatafuta kiwanja ajenge nyumba mia (we mpe business plan na mtafutie kiwanja).

Mwingine anakwambia China huko kuna kampuni ina mabasi yamebakiza kama maili 30,000 kwa viwango vyao as residual value (si unajua hawa na hesabu zao PPE) mpe deal ya kuyatumia; kwa kifupi hapo kuna ma deal ya kufa mtu.

We na akili zako timamu utoke ulaya ukagombee nafasi za serikali na wenyewe humu. Sasa huko ulaya umejifunza nini. Bado elimu yako inalipa huko kushinda Tanzania.

Hakuna kitu special hao wakenya wanafanya sio kwamba watanzania hawawezi ila siasa zetu zinatia uvivu watanzania; sema wakenya wapo too ambitious only.
 
Do you want the government kukutambua ndio utume pesa Kwa mama au baba?
Mkuu ulichoandika umewaza mara mbili? Nani amekwambia diaspora and the like hawatumi pesa kwa wazazi wao? Umejuaje na kwa factor gani? Hoja aliyojibiwa Jepesi Kabwela ni hoja jumuishi, akimaanisha watu watume pesa za maendeleo ya nchi kama nchi, mfano investment, na sio kutuma hela (ya kula) kwa wazazi kama ambavyo unajaribu kusema.
 
Hii inajulikana sana , hawana mchango wowote zaidi ya kupiga kelele tu
 
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.

Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.

View attachment 3188343

Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.
Sio tuu wanakesha huko hao vibaraka ndio wanamdanganya Lisu
 
Back
Top Bottom