Hamna mtu atatuma pesa nyumbani if serikal yao imewawekea vikwazo kibao. Majirani tu hapo kenya they have a best system, hata ghana, diaspora wana uhuru wa kuwekeza nyumbani kwa usalama.Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.
Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.
Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.
Wajinga wakubwa nyie mshinde mnabishania Yanga na Simba, kubett, kusikiliza bongo fleva, kufanya uzinzi na madudu mengine mkisubiri Diaspora wafanye kazi wawaletee hela nyie mmekaa tu? Fanyeni kaziZitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.
Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.
Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.
Kwanza utaambiwa unataka kugombea ubunge unaanza kufuatiliwa hovyoHamna mtu atatuma pesa nyumbani if serikal yao imewawekea vikwazo kibao. Majirani tu hapo kenya they have a best system, hata ghana, diaspora wana uhuru wa kuwekeza nyumbani kwa usalama.
Bongo ukitaka kufanya hivyo, rushwa, majungu, na wakuu wanataka wapate chochote
Kapumbavu kama wapumbavu wenzake. Badala ya kushauri serikali iweke mifumo rafiki kwa Watanzania kuweza kupata fursa nje ya nchi, kenyewe kanabwabwaja tu. Nakashauri kajikite katika hayaZitto ni mzito mnoo kama akili zake
Hela zao wazitume wapi wakati serikali yao haiwatambui na haijaweka mifumo salama ya fesha?
Wanawwtumia ndugu zao na wanadhulumiwa vibaya mno. Anataka hizo fedha atumiwe yeye?
Jamaa ni bogus sana. Hana reasoning brain
Zitto ni tapeli, wahindi na wachina wanakuja bila hata laptop lakini wanakuja kutajirikia hapa bongo yeye akisubiri kutumiwa pesa huku anafanya uzinzi na kubettyZitto ni mzito mnoo kama akili zake
Hela zao wazitume wapi wakati serikali yao haiwatambui na haijaweka mifumo salama ya fesha?
Wanawwtumia ndugu zao na wanadhulumiwa vibaya mno. Anataka hizo fedha atumiwe yeye?
Jamaa ni bogus sana. Hana reasoning brain
Zitto ni wale wale anapenda vitu vya bure bila kufanya kaziKapumbavu kama wapumbavu wenzake. Badala ya kushauri serikali iweke mifumo rafiki kwa Watanzani kuweza kupata fursa nje ya nchi, kenyewe kanabwabwaja tu. Nakashauri kajikite katika haya
1. Serikali kupunguza masharti magumu ya Mtz kupata passport.
2. Kushauri Mabalozi watangaze fusra zilizopo nje ya nchi
Otherwise kanyamaze tu
Kwani wewe huwezi kutoa maoni hadi utukane watu hanithi weweWajinga wakubwa nyie mshinde mnabishania Yanga na Simba, kubett, kusikiliza bongo fleva, kufanya uzinzi na madudu mengine mkisubiri Diaspora wafanye kazi wawaletee hela nyie mmekaa tu? Fanyeni kazi
Acheni uvivu fanyeni kazi na siyo kuzaana huku mkisubiri kutumiwa pesa na DiasporaKwani wewe huwezi kutoa maoni hadi utukane watu hanithi wewe
Sasa hapo wa kulaumiwa ni nani? hua wanamlazimisha kukesha huko clubhouse?Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haileti pesa.
Waliandaliwaje kabla ya kwenda huko?Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.
Na uchoyo na kulalamaZitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.
Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.
Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.
sasa wanajadili nini huko clubhouse kuhusu Tanzania kama hawatambuliki?🤣Zitto ni mzito mnoo kama akili zake
Hela zao wazitume wapi wakati serikali yao haiwatambui na haijaweka mifumo salama ya fesha?
Wanawwtumia ndugu zao na wanadhulumiwa vibaya mno. Anataka hizo fedha atumiwe yeye?
Jamaa ni bogus sana. Hana reasoning brain
Very cheap of youZitto ni mzito mnoo kama akili zake
Hela zao wazitume wapi wakati serikali yao haiwatambui na haijaweka mifumo salama ya fesha?
Wanawwtumia ndugu zao na wanadhulumiwa vibaya mno. Anataka hizo fedha atumiwe yeye?
Jamaa ni bogus sana. Hana reasoning brain
Zitto Kabwe ntu ya dili.Zitto ni mzito mnoo kama akili zake
Hela zao wazitume wapi wakati serikali yao haiwatambui na haijaweka mifumo salama ya fesha?
Wanawwtumia ndugu zao na wanadhulumiwa vibaya mno. Anataka hizo fedha atumiwe yeye?
Jamaa ni bogus sana. Hana reasoning brain
Do you want the government kukutambua ndio utume pesa Kwa mama au baba?sasa wanajadili nini kuhusu Tanzania kama hawatambuliki?🤣
si ni kupoteza muda tu huko gentleman 🐒
Warudi watazame hata mazingira ya kutuma hizo pesa. Pesa zinazoingia kenya kutoka nje nyingine sio za kutumwa diaspora, ni malipo ya watu kufanya kazi online na walipaji wengi wanalipa kwa njia ya Paypal kwa sababu inawapa guarantee ya usalama ya wanachokilipia tofauti na njia nyingine.Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.