kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
inakuwaje zito alalamike sana ruhusuni haraka mambo yanedaInasikitisha sana, inafedhehesha sana kwakweli.
Infact,
Serikali ya Tanzania inawatambua waTanzania wanaoishi ughaibuni, na tayari uko utaratibu maalumu wa kuwatambua kisheria,
kwahiyo hakuna haja ya wadau kuibua visingizio ambavyo havipo.
watume pesa na mali kwa ndugu jamaa na marafiki zao tahadhari, waache ubahili 🐒
Kila mtu atengeneze pesa zake na matumizi tusipangiane.Sio kazi ya Diaspora kuwaletea pesa nyumbani. Hiyo ni kazi ya serikali yenu.
Kwanza mmeweka vikwazo vingi kwa Diaspora hata kutoa uraia pacha hamtaki. Mnataka hela tu!!
Gaddamit!!
Wakenya wana uraia pacha, mtu anaweza kuwekeza huku na huku kwa uhuru bila bugudha.
Hapa kachemsha...Zitto ni mzito mnoo kama akili zake
Hela zao wazitume wapi wakati serikali yao haiwatambui na haijaweka mifumo salama ya fesha?
Wanawwtumia ndugu zao na wanadhulumiwa vibaya mno. Anataka hizo fedha atumiwe yeye?
Jamaa ni bogus sana. Hana reasoning brain
Zitto angekuwa na akili sijuwi hii nchi ingekuwa wapi?Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.
Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.
View attachment 3188343
Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.
Tuma pesa mkuu😁Sasa hapo wa kulaumiwa ni nani? hua wanamlazimisha kukesha huko clubhouse?
Hivi mtu unaweza kulala ukiwa macho?
Mkuu toa pesa mafisadi papa wagawane🤣🤣
Tangu awe na pricetag hajawahi kuwa sawa tenaHapa kachemsha...
Mimi sifanyii kazi watu wengine,Mkuu toa pesa mafisadi papa wagawane🤣🤣
Kila mtu apambane kivyake mkuu , msaada ni kwa watu wasiojiweza kimwili tu mamaee😁Mimi sifanyii kazi watu wengine,
Kila mtu apambane kivyake.
Angeanza kupiga kelele kwanza watanzania tupate passport kwa urahisi bila kulazimika kutoa rushwa tungemuona wa maana sanaZitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.
Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa.
View attachment 3188343
Naunga mkono mtazamo wa Zitto. Diaspora tuleteeni pesa nyumbani story za kwenye clubhouse hazitusaidii sana.
Kuna digidigi humu utasikia mara wabeba box hawana chochote bora ubaki kidimbwi , halafu leo wanalia lia 😁😁 mamaeeeMimi sifanyii kazi watu wengine,
Kila mtu apambane kivyake.