Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Mbona Lisu aliongea Magufuli akiwa hai na mkampiga risasi.Ben saanane kaongea mkamuuwa? Acheni unafiki wenu. MAGUFULI ALIKUWA MUUWAJI HILO LIKO WAZI.
Endelea kumuamini huyu mchumia tumbo ila one day time will tell
 
Yaani kajichimbia kaburi la kisiasa, hakuna mamlaka itakayokuja kumuamini kumpa nchi. Yule hakuwa Dkt Magufuli bali ni taasisi ndiyo iliyofanya hivyo na bado ipo inazidi kupata ushahidi wa waliohusika kuhujumu nchi
 
Kuna wakati tunajadili vitu au watu wasioweza kutusaidia. Sasa hapo mjadala juu ya Magufuli unalisaidiaje Taifa? Je, huyu ambaye hamchukii ameshamsaidia nini?
Ukitaka kujua unakokwenda lazima ujue ulikotoka! Ni kanuni ya maisha na ndiyo sababu ya kuwa na somo la historia!
 
Endelea kuwasomesha watoto ili waelewe. Hili jambo hata mimi nimeshaongea lakini sina uhakika kama nilieleweka. Nadhani kuna watu wanaposikia kuwa Rais ametoa fedha, wanaanza kupata mawazo kuwa ni zake na pengine zingine anazitumia kujenga mahoteli yake ya kitalii huko ufukweni Kigamboni
 
Anthony Diallo nae atakuwa Mdini sana maana kamsagia sana Magufuli na wakati wa Jakaya alikuwa kipenzi sana cha Jakaya na utawala wa Bi Mkubwa pia hajauponda
 
Raisi anafanya allocation ya fedha kumbe...... Bunge la bajeti linafanya nini?
Ndiyo kazi linayofanya Bunge lakini ukumbuke kuwa hizi hela zinakuwa hazipo (not readily available cash) bali huwa zinatafutwa kwa vipindi tofauti tofauti ndani ya mwaka wa fedha, na pindi zinapokuwa zimepatikana, ndiyo zinaanza kuwa re-allocated kwenye miradi ya maendeleo na kuanza kutumika. Zinapopatikanandiyo asa inabidi ziende kwenye miradi 1. 2, 3, n.k. lakini bado hata zikienda zinakuwa hazitoshi, zinakuwa bado zinaendelea kuhitajika tena kwa mara nyingine. Inapofikia hapa, anayeamua sasa kugawanya kidogo ili kiende kwenye miradi 1, 2, 3, n.k siyo Bunge tena bali Ni Rais!
 
Anthony Diallo nae atakuwa Mdini sana maana kamsagia sana Magufuli na wakati wa Jakaya alikuwa kipenzi sana cha Jakaya na utawala wa Bi Mkubwa pia hajauponda
Dialo Ni fisadi na mchumia tumbo lazima mtu mwizi atatulia tu akiona Nchi inakuwa shamba la Bibi.

Zitto ni mdini naongea nikiwa nimekaa na Zitto kwa ukaribu Sana sana
 
Raisi anafanya allocation ya fedha kumbe...... Bunge la bajeti linafanya nini?
Legeza hicho kichwa si kila pesa inafanyiwa allocation na Bunge, Kwani hii ya UVIKO mlikaa pia?.
 
Sio muda wote ni lazima ujue unakotoka ndio ujue unakoelekea! Kwa mfano, unatokea Gizani hiyo itakusaidiaje kujua uelekee wapi?
 
Wewe kweli unatatizo , Zitto ana Udini Gani, huyu uislamu wenyewe haujui, hata swala kajifundisha ukubwani.

Huyu na dini ni mbali mbali sana, kwa hili umemuonea
 
Wewe nae unazingua. Maovu,roho mbaya na mabaya ya Dikteta Kayafa Mwendakuzimu lazima yasemwe hata kama sasa hivi kashaoza ili iwe funzo kwasasa na vizazi vijavyo. Tena kama inawezekana maiti yake itolewe iwekwe hadharani ipigwe mijeledi na kusomewa mabaya yake. Mimi binafsi na wengine wengi tuu hapa tulimpinga Dikteta Uchwara Kayafa tangu akiwa hai bila kujali imani zetu za kidini kufanana nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati ule anazungushwa mikoa kadhaa na kitorori ilibidi zoezi lile liende sambamba na kumchalaza mijeledi.

Kuna watu huww nashindwa kuwaelewa wanampotetea shetani.

Mkatae shetani na kazi zake zote.
 
Wakati ule anazungushwa mikoa kadhaa na kitorori ilibidi zoezi lile liende sambamba na kumchalaza mijeledi.

Kuna watu huww nashindwa kuwaelewa wanampotetea shetani.

Mkatae shetani na kazi zake zote.
Safi sana,Shetani anatakiwa kupingwa kila wakati haijalishi yupo katika status gani,Kayafa kaburi lake lifukuliwe acharazwe mijeledi ya Mkia wa Taa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpuuzi wewe na wa kwenu wote. Nyoookkkkoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…