Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Huwa nakuheshimu Sana, Technically, imagine this hypothetical scenario, angelikuwa amemuua mama, baba na mtu Yeyote aliyempendwa wako ungelisema tusimseme màrehemu, for that matter Magufuli?
Hao wakifika kwenye dini uelewa huwa unashuka
 
Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.

Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno tu.

Kwa hiyo huyo Zitto amepoteza muda na heshima yake kwa jamii.
 
Hahahaha kipindi kitafungiwa hiko [emoji23][emoji23][emoji23]
Amesema wazi kuwa shujaa wao wa Afrika anahusika na risasi za Lissu
Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.

Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno maneno matupu tu.

Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake tu na heshima yake kwa jamii.
 
Hao wakifika kwenye dini uelewa huwa unashuka
Exactly, kasoro kubwa Yao Ni hiyo. Temp 40 at Tanga mtu amevaa baibui all over her body, Tena a black one, a good absorber of heat! Ukimuuliza Lisa na jot anasema Dini!
 
Malaya wa kisiasa huyu, baada ya mrija kukatwa akaongeza chuki kwa John Pombe Magufuli. Hakuna mwanasiasa pale bali mchumia tumbo ndio maana CHADEMA walimumwaga kwa tamaa zake, hivyo Zitto kabwe hana tofouti na malaya wa sinza pale wanapoona bia kwenye meza.
 
Nikisikia hizi mada huwa nakumbuka kitu kimoja tu. JPM alikuwa level nyingine. Ndio maana kwa wana siasa wengi jina lake limekataa kufa naye. Kwa siri au kwa wazi, bado wanapambana na mzimu wake bila mafanikio.

Rest in Peace JPM. Kuiweka Tanzania ambayo ni shamba la bibi kwenye mstari, na kupambana na ulaji kwa kutumia siasa, haikuwa kazi ndogo.
 
Waache waongee, uzuri aliyekufa alishamaliza yake duniani. Tuone watafika wapi hawa waliobaki

Edit: Hivi kuna watu wanafuatilia vipindi vya luninga vya Tanzania zaidi Mpira na maigizo?

Nilikuwa hata sijui huyu dada ana kipindi
 
Back
Top Bottom