Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

Ndege za ATCL

A220-300 hizi zimeingia sokoni kwa mara ya kwanza 2016 na zina life expectancy ya miaka 30. Kwa muda ATCL iliyokabidhiwa hizo ndege hakuna mtumba sokoni. Na ata kama kwa maajabu zilikuwa mtumba zinatarajiwa kuwa angani mpaka mwaka 2046-51.

Boeing 737 Max9, zimeanza kutumika 2017 kibiashara duniani, so aiwezi kuwa mtumba (hii ipo kiwandani bado aijafika).

Boeing 787-8 zimeanza kutumika 2011 kibiashara, airline wanaonunua ndege kama hizo on average wanabadili after 20 years na ndege zenyewe zina life expectancy ya 40: kwa ivyo ya ATCL aiwezi kuwa mtumba.

Sasa mtu aweze nunua ndege zote hizo mpya, ambayo bei ya moja hapo juu inanunua Dash 8-q400 sita kwa mpiga na change inabaki kwanini aongope.

Shida ni kwamba watu awawezi biashara wala upkeep ya ndege wanazopewa ndio maana zipo chali.

Hii nchi ni rahisi sana kuongoza yaani wananchi so gullible na viongozi wenye uwezo mdogo mno.

Hapo maendeleo hakuna miaka 800 mmeacha real talent na kuwapa vijana sakapoko nafasi ndio madhara yake; ujinga mtupu ukiwasikiliza.
 
Huyo jamaa ni mfilisi. Kule Kigoma JPm alipoenda alilamba miguu na kumsifia. Huyo ni inside job wa thithiem
 
Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Magufuli na utawala wake.

Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.

Nasubiri kusikia kama serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.


Tulinunua mali mpya kwa 'cash'....watunzaji wamekuwa wazembe kuzitunza na kufanya matengenezo.
 
Ulitegemea ziwe grounded lini ? Kama service hamna unataka ziruke vip , hata kama ni mpya unajua service schedule yake , ndege sio Gari , hlo shirika wamedhamiria kuliua , na watu wanashangilia , ogopa sana kundi la wajinga
Ndio unatakiwa kuwatupia lawama wanaozembea kuzifanyia service sio Zitto
 
1. Ziko grounded kwasababu ya kukosa matunzo.

2. Ziko grounded kwasababu zilinunuliwa zikiwa chini ya viwango.

3. Haziko grounded.
Hiki ulichoandika hapa naona kina justify vile huamini alichokiongea Zitto, na kununuliwa kitu kisicho kipya sio sababu pekee ya kuwa grounded, hata kipya nacho kisipopata matunzo kitakuwa grounded pia.
 
Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Magufuli na utawala wake.

Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.

Nasubiri kusikia kama serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.


Huyu jamaa ni mdini!?

Wakati Magu yupo zilikuwa zinaruka. Magu hayupo haziruki. Unafikiri sisi ni wajinga. Propaganda zako kawadanganye mafala
 
Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Magufuli na utawala wake.

Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.

Nasubiri kusikia kama serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
sidhani kama hizo ndege sita grounded kwasababu ya kununuliwa used au makosa ya JPM.

Inawezekana kabisa ziko grounded kutokana na "poor maintenance" ambayo chanzo chake kikubwa ni poor business management. Sidhani kama ATCL ina competent management na team kwa ujumla kwenye usimamizi wa hiyo fleet ya ndege za kisasa kama Bombadier, Airbus, na Dreamliner.

JPM alishamaliza kazi yake kutoa maamuzi na hela ya kununua ndege, kazi imebaki kwa wengine kwenye management na operation, upumbavu wetu ni uleule, kuchekeanachekeana na kutokuwa serious kwenye vitu tunavyotumia hela za umma.
Sioni tatizo lolote kwenye ununuzi wa ndege zaidi ya ujinga na utendaji wa waajiriwa wa ATCL ( business za usual)
 
Cha ajabu utakuta akitoka hapo apanda hizo ndege ila awahi Dar ili uchukue posho za wanaokuuma
Tatizo siyo kupanda au kutopenda ndege, na wala siyo kununua ndege zilizotumika. Lakini inatakiwa ifahamike:

1) Ni kweli ndege zilizonunuliwa zilikuwa zimetumika?

2) Kama.zilinunuliwa zimetumika, kwa nini tulidanganywa kuwa ni mpya?

3) Kama zilikuwa mitumba, pesa tuliyoambiwa imetumika kununua ndege mpya, yote ilipelekwa kwa muuzaji au kuna watu waliipiga?

4) Waliohusika na huo ununuzi na malipo, kwa nini wasihojiwe ili watoe ufafanuzi juu ya hayo yote?

Kuharibika kwa kitu chochote si jambo la ajabu, lakini kuharibika kwa ndege 6 kwa kipindi kifupi namna hii, ndege zilizokuwa mpya, si jambo la kawaida. Hii sasa ni zaidi hata ya magari ya kichina.
 
Kumtukana JPM hakuta kujenga kisiasa hata watu wa kigoma watakukataa labda upewe ubunge wa mchogo ili kulipwa fadhila za aliyekutuma kumchafua JPM
Jukwaa kweli siku hizi limejaa wajinga wasioweza kujibu wala kujenga hoja.

Kama una taarifa sahihi, jibu hoja ya Zito. Ndege zilinunuliwa mpya au zilikuwa zimetumika?

Karibuni hapa, hata Kigwangala alihoji juu ya upya wa mabehewa, tuliona kama vile ni mzushi. Kelele zilipozidi, waziri na Rais, wote walikiri kuwa mabehewa ni mitumba.

Tujifunze kutumia akili katika kujibu hoja, badala ya kuziacha akili sehemu, na kujibu kwa kuropoka kama alivyofanya huyu mchangiaji anayejiita much know.
 
Kuna mlolongo wa matukio yaliyotokea kabla na baada ya Hayat kuugua na kufariki.

Katika bandiko la ACT Zitto kabla ya kifo chake alidai serikali iwe makini na wanaodai au watakaodai wana maagizo kutoka juu. Zitto aligusia sehemu mbili mahususi...nayo ni Hazina ya fedha za Nje pamoja na Dhahabu. Hivyo basi inaonekana alikuwa na taarifa za ndani kabisa, na kwa mantiki hiyo anaweza kuwa anajua yaliyojiri kuhusu mchakato mzima wa manunuzi ya Ndege hizo.

Binafsi sishangai sana na madai yake au tuhuma zake kuwa ndege zimejaa kutu n.k kwani Imekuwa kawaida kwa madalali na Wauzaji kutoka nje kutuuzia mitumba, karibu kwenye kila kitu! Asatakafululahi,

Nyuma ya matukio, mbele ya matukio,matusi,lawama,na yale yote hasi ambayo yanaweza kutokea-yatatokea/yalitokea wakati yupo hai ni wazi hayati Rais hawezi kujibu chochote. na kwa nadharia ninayojenga mie, Hayat Rais ndie atakuwa 'amehujumiwa'

Nani atafaidika na hujuma, shutuma na Uwongo huo? Kama ni uwongo? Nani atafaidika na Ukweli?

Kuna mjamaa kasema huko juu Tutajua hatujui.

R.I.P comrade.
 
Ulitegemea ziwe grounded lini ? Kama service hamna unataka ziruke vip , hata kama ni mpya unajua service schedule yake , ndege sio Gari , hlo shirika wamedhamiria kuliua , na watu wanashangilia , ogopa sana kundi la wajinga
hakuna mjinga anayemzidi wewe. We ni km demu tu wa marehemu raha yake kudanganywa
 
Back
Top Bottom