Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ndege za ATCL
A220-300 hizi zimeingia sokoni kwa mara ya kwanza 2016 na zina life expectancy ya miaka 30. Kwa muda ATCL iliyokabidhiwa hizo ndege hakuna mtumba sokoni. Na ata kama kwa maajabu zilikuwa mtumba zinatarajiwa kuwa angani mpaka mwaka 2046-51.
Boeing 737 Max9, zimeanza kutumika 2017 kibiashara duniani, so aiwezi kuwa mtumba (hii ipo kiwandani bado aijafika).
Boeing 787-8 zimeanza kutumika 2011 kibiashara, airline wanaonunua ndege kama hizo on average wanabadili after 20 years na ndege zenyewe zina life expectancy ya 40: kwa ivyo ya ATCL aiwezi kuwa mtumba.
Sasa mtu aweze nunua ndege zote hizo mpya, ambayo bei ya moja hapo juu inanunua Dash 8-q400 sita kwa mpiga na change inabaki kwanini aongope.
Shida ni kwamba watu awawezi biashara wala upkeep ya ndege wanazopewa ndio maana zipo chali.
Hii nchi ni rahisi sana kuongoza yaani wananchi so gullible na viongozi wenye uwezo mdogo mno.
Hapo maendeleo hakuna miaka 800 mmeacha real talent na kuwapa vijana sakapoko nafasi ndio madhara yake; ujinga mtupu ukiwasikiliza.