Zitto anataka tuchinjane tu
Kwako wewe ungependekeza njia gani itumike ktk kuikomboa Tanz yetu?? Ungependa tutunishiane misuli hadi lini huku wenzetu wakizidi kuumia? Je endapo maridhiano yatafanyika si ndiyo mwanzo wakujua hatma ya Ndugu zetu waliopotea hadi hivi leo? Je wewe unaona ni bora Mh Lissu aendelee kuwa nje ya nyumbani kwake hadi lini? Hapo kwenye meza ya maridhiano si ndiyo mahali pake? Je wewe unafikiri kwenye meza ile watakao keti kutafuta maridhiano ni Wenye Viti wa Vyama pekee bila kuwa na Watu wa pembeni wenye Hekima, Busara na Uzalendo wa kweli ktk kujenga Demokrasia Nchini?Mimi mwenyewe moyo wangu umesononeka na kuumia Sana wakati naona Magufuli hayuko tayari kuona upinzani nchini.
Magufuli ameua,amefunga wapinzani,amepoteza watu na kujeruhi wapinzani kwa Risasi Leo CDM kirahisi wanasema wanataka maridhiano na CCM hapo wameingizwa chaka,umehalilisha utawala unaokandamiza haki za watanzania.
Kwenye kesi umechemka Mkuu kwni hawaogopi kufungwa. Kwni kufungwa kwao itakuwa ni kielelezo tosha kwa Dunia kuwa Tanz inaongozwa na mtu wa namna gani. Mh Mbowe alishasota rumande kwa miezi zaidi ya mitatu na nado ni yule yule wa jana na leo.Jicho la mbali,
Kinachowasumbua Chadema ni kesi ,
Wakijifanya wanapambana na jiwe jino kwa jino
Watakwenda kweli segedensa
Kuna mtu mkubwa kawashauri wajitafakari na kisha waungane na jiwe, katika kujenga nchi
Na jiwe atawaonea huruma na
kesi yao itafutwa kimya kimya..
Mtoto wa mjini ukiona maji mazito unatafuta chocholo..
Mimi mwenyewe moyo wangu umesononeka na kuumia Sana wakati naona Magufuli hayuko tayari kuona upinzani nchini.
Magufuli ameua,amefunga wapinzani,amepoteza watu na kujeruhi wapinzani kwa Risasi Leo CDM kirahisi wanasema wanataka maridhiano na CCM hapo wameingizwa chaka,umehalilisha utawala unaokandamiza haki za watanzania.
Ni rahisi tu wala usikonde. Anzisha chama chako, hapo utakuwa na amani.Mbowe Mimi nilishaacha kumwamini toka 2015 kwa ile gia ya Angani.!
Siyo unafiki tu bali kakiwa pale Chuo Kikuu Mlimani kalikuwa ni ka kiongozi ka DARUSO, kalishiriki sana kuwauzia vyumba vya kulala Wanachuo wakati ilikuwa ni haki yao kupewa vyumba bure. Hapo utaona ni kwa namna gani haka ka Zitto ni kajizi na kanafiki. Mbowe kamsaidia sana Zitto kimaisha akiwa pale UDSM,kamjenga kisiasa, kwa kifupi Mbowe ni kama mzazi wa Zitto alipaswa kumhehimu japo kidogo lakini kutoa hiyo lugha ya kwamba anajipendekeza ni utovu wa nidhamu. Na haya ndo tumekuwa tukiwakosoa Wapinzani mara kwa mara kwa kumuita Rais JPM ni mshamba,Dikteta halafu wanajinasibu kwamba ni lugha ya kawaida ya kukosoa,sasa na hili la Zitto la kumwambia Mbowe anajipendekeza, je ni lugha ya kawaida ya kukosoa?kajamaa unafiki kameuanza zamani sana, kuwa nacho makini sana!
Ni rahisi tu wala usikonde. Anzisha chama chako, hapo utakuwa na amani.