Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

Namshauri Zitto kabwe asibeze hatua ambayo Chadema wameamua kuchukua.Badala yake kupitia chama chake cha ACT MAENDELEO nao Wachukue Hatua waitakayo.Chadema kutaka maridhiano hakumzui Zitto na Chama chake kuingia Barabarani.
 
Kila chama kina malengo na mipango yake; asitafute sababu za kujitafutia umaarufu wa kipuuzi. Binafsi kitendo cha kushiriki shughuli za kitaifa kwa vyama vyote vilivyo shiriki, nakipongeza sana.
 
Huyu John Mrema anajidhalilisha kwa kuandika kiingereza kibovu! arudi shule ajifunze matumizi ya ''your'' na ''you're''.
 
...this business is over, maisha yanaendelea sasa.. tunasubiri tukio jingine soon, this is Tz!.
 
Sio utoto ndio walivyo hao! Wanagombania nafasi ya chama kikuu cha upinzani! Hii ndoto ya kushika dola ni zuga kwa mashabiki maandazi na wananchi wasiojielewa.
 
Namshauri Zitto kabwe asibeze hatua ambayo Chadema wameamua kuchukua.Badala yake kupitia chama chake cha ACT MAENDELEO nao Wachukue Hatua waitakayo.Chadema kutaka maridhiano hakumzui Zitto na Chama chake kuingia Barabarani.
Ongopa chama ambacho survival yake ni mgogoro baina ya vyama viwili vikubwa, Siku vyama hivyo vikifanya maridhiano lazima kile chama mamluki, kipige kelele sana kwa .maumivu makali
 
Kigogo 2014 amekata pumzi,aendelee na ACT Wazalendo yake aachane kabisa na Chadema.
 
Kigogo 2014 kaumbuka mbaya.
 
Yale Yale ya UKUTA yamejirudia Kwenye Maridhiano ya kitaifa

Kwa hili nipo pamoja na Mh ZITTO,

Upinzani Kwa Tanzania bado Sana.
 
Chadema wapo kama nyumba,wakielekezwa hata shimoni watafata tu
 
Zitto anatafuta uungwaji mkono kwa njia za ujanja-ujanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…