Mtu yeyote akisema ukweli anaonekana sio mzalendo!!!!Yaani uko tayari watu waendelee kutekwa? Nina wasiwasi Na uzalendo Wa zitto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu yeyote akisema ukweli anaonekana sio mzalendo!!!!Yaani uko tayari watu waendelee kutekwa? Nina wasiwasi Na uzalendo Wa zitto
Msome Halima kwanzaMtu yeyote akisema ukweli anaonekana sio mzalendo!!!!
Kuomba maridhiano ni ujasiri
Namshauri Zitto kabwe asibeze hatua ambayo Chadema wameamua kuchukua.Badala yake kupitia chama chake cha ACT MAENDELEO nao Wachukue Hatua waitakayo.Chadema kutaka maridhiano hakumzui Zitto na Chama chake kuingia Barabarani.
Nimesoma!!!!Msome Halima kwanzaView attachment 1288326
Kila chama kina malengo na mipango yake; asitafute sababu za kujitafutia umaarufu wa kipuuzi. Binafsi kitendo cha kushiriki shughuli za kitaifa kwa vyama vyote vilivyo shiriki, nakipongeza sana.Namshauri Zitto kabwe asibeze hatua ambayo Chadema wameamua kuchukua.Badala yake kupitia chama chake cha ACT MAENDELEO nao Wachukue Hatua waitakayo.Chadema kutaka maridhiano hakumzui Zitto na Chama chake kuingia Barabarani.
Hivi Yericko Nyenyere amewahi kuongoza hata wafagizi tu wa hapo Ufipa?
Ongopa chama ambacho survival yake ni mgogoro baina ya vyama viwili vikubwa, Siku vyama hivyo vikifanya maridhiano lazima kile chama mamluki, kipige kelele sana kwa .maumivu makaliNamshauri Zitto kabwe asibeze hatua ambayo Chadema wameamua kuchukua.Badala yake kupitia chama chake cha ACT MAENDELEO nao Wachukue Hatua waitakayo.Chadema kutaka maridhiano hakumzui Zitto na Chama chake kuingia Barabarani.
Wewe wasemaKamati kuu=Mbowe
Kigogo 2014 kaumbuka mbaya.Tatizo Zito anajiona yeye anajua na anaweza kila kitu...na hicho ndio kilifanya akashindwa kuishi chadema....hapo alipo akili na Nguvu yake yote ni kuhakikisha Chadema inaanguka ili chama chake kiwe chama kikuu...kipindi kile cha JK chadema walifanya siasa za kiharakati
kwa wingi ambazo zilipelekea mauaji na majeruhi wengi tu yakiwemo Yakina Mwangosi...zito na baadhi ya watu walipinga na kudai chadema waache siasa za kiharakati za kudai haki...na wafanye siasa za kistaarabu...hata kipindi wenzie wanatoka bungeni kudai haki yeye alikuwa hatoki...leo itakuaje tena anageuka!....kwa kifupi a
Chadema ni adui wa Zito kuliko hata CCM.