mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Zitto mi namwonaga mtu wa ajabu sana...... Sijawahi tilia maanani anayoongea.....
Bungeni walizungumzia maridhiano?!mbna yeye, siku ya ufunguzi wa bunge, alibaki ndani huku CDM wakitoka nje, hakuona ajabu, au akili zake hazikuwepo kipindi hicho?
Maridhiano hayaombwi, bali yanadaiwa naupande wa mtawala ndio huomba kukutanishwa na upande wapiili ili waridhiane.suala la JPM kuja kuwasema CDM mbele ya safari ni kusubiri na kuona, but muhimu CDM wameonesha motive ya kutafuta maridhiano, kama yeye anavyopenda kujinasibu anamjua Mungu sasa ndio aoneshe kwa vitendo, vinginevyo akipuuzia halafu aendelee kumtaja Mungu kwenye shughuli zake, sijui atakuwa anamtaja mungu wa wapi!, na wastaarabu wote watakuwa wamejionea aina ya mtu alivyo.
umenikumbusha mbali, jamaa alipambana haswa!.mwisho wa siku wote tupa kule, hawa wanaojiita waandishi wa habari wa kujitegemea wakuangalia kwa makini!.Mkuu
Hata hivyo sijawahi kusoma andiko lako ambalo umetofautiana na Zitto! Inawezekana nikawa siko sahihi!
Nakumbuka sakata la Zitto na CHADEMA/Mbowe ulivyokuwa unapambana na Ben Saanane!
Zitto kachukia sana alivyo ona Mbowe amechukua credit na ametrend sana kwenye mitandao na vyombo vya Habari dunia nzima.Zitto kapanic kwa lile walilofanya CDM jana, kashtukizwa hakutegemea, anatamani ile nafasi ingekuwa yake kwa tabia zake za ki_opportunist, toka jana ni twitter, insta habanduki huko, eti leo Zitto anataka siasa za mapambano anawafundisha CDM!, wonders shall never end, wakati ule anaenda kukutana na JK watu wanamuuliza kulikoni anasema JK ni sawa na babake, vipi leo Magufuli sio sawa na babake pia?!
mkuu umempatia kabisa...hlf utakuta siku zote anaunga mkono maridhiano ya wakenya, huku anapinga haya, sasa hapo mbowe anatofauti gani na Raila? kama mty anamsifia Raila kuwa amekomaa kisiasa hapo hapo anaona ajabu kwa Mbowe kutumia njia hiyo hiyo ni maajabu!Mkuu
Hata hivyo sijawahi kusoma andiko lako ambalo umetofautiana na Zitto! Inawezekana nikawa siko sahihi!
Nakumbuka sakata la Zitto na CHADEMA/Mbowe ulivyokuwa unapambana na Ben Saanane!
Kama nakumbuka vyema, alichokuwa anapinga Pascal ni zile njia haramu walizotumia Ben na wenzake kumshughulikia Zitto. Leo hii tunalia watu wanapodukuliwa mawasiliano yao (and we should), lakini wakati udukuzi anafanyiwa Zitto tulishangilia.Mkuu
Hata hivyo sijawahi kusoma andiko lako ambalo umetofautiana na Zitto! Inawezekana nikawa siko sahihi!
Nakumbuka sakata la Zitto na CHADEMA/Mbowe ulivyokuwa unapambana na Ben Saanane!
Mimi mwenyewe moyo wangu umesononeka na kuumia Sana wakati naona Magufuli hayuko tayari kuona upinzani nchini.
Magufuli ameua,amefunga wapinzani,amepoteza watu na kujeruhi wapinzani kwa Risasi Leo CDM kirahisi wanasema wanataka maridhiano na CCM hapo wameingizwa chaka,umehalilisha utawala unaokandamiza haki za watanzania.
Mbowe Ukiacha umugabe wake ni kiongozi mzuri sana!Japo huwa simkubali Mbowe na kamwe sitarudi CDM lakini Zito ni hovyo zaidi bora Mbowe. Mbowe anaweza kuaminika na huwa ana residual za uzalendo hivyo vitu kwa zzk hakuna
Yupo sahihi kwenye jambo gani?Ni kweli kabisa lakini ujumbe ule wa kiinjili mbele watanzani wengi unaweza kumbadili mtu kuliko pambano la kivita. Pia hauzuii kuleta pambano ikiwa sikio la kufa halikusia dawa. Namuunga mkono Mbowe.
Kaika hali ile wanaopinga wangetaka Mbowe asemeje?
Wastaafu wakuu wote wanasifia mtawala na wananchi wanapokea. Kati ya na Mbowe wastaafu nani mkweli zaidi.
Na je, mbona hatusemi lolote kuhusu wao kuitakia nchi yote mema. Ina maana wanafurahia wapinzani kuonewa?
Mbowe yuko sahihi kuliko wote waliopewa nafasi ya kusema na ujumbe wake umefika japo wenye kiburi watakomaa