Unamaana kuwa vyama vya upinzani vinashindana kwenda kujipendekeza kwa ccm?Zitto kapanic kwa lile walilofanya CDM jana, kashtukizwa hakutegemea, anatamani ile nafasi ingekuwa yake kwa tabia zake za ki_opportunist, toka jana ni twitter, insta habanduki huko, eti leo Zitto anataka siasa za mapambano anawafundisha CDM!, wonders shall never end, wakati ule anaenda kukutana na JK watu wanamuuliza kulikoni anasema JK ni sawa na babake, vipi leo Magufuli sio sawa na babake pia?!
Mbona kipindi cha mkwere alikua jembe kwenu.Zitto ni mtu mbaya sana kwa ustawi wa Amani ya Tanzania
Huyu yupo tayari kuisaliti Nchi kwa ajili ya tumbo lake
Nyani NgabuHata Nyani Ngabu alihamia CCM baada ya operesheni UKUTA kufeli!
Mbona kipindi cha mkwere alikua jembe kwenu.
Ahahahah mlimtumia vyema kuvuruga upinzani.Huyo ni mchumia Tumbo hajawahi kuwa jembe
Siyo yupo kwenye level nyingine, ni muhuni tu na mjanja mjanja.Zito Yuko kwenye level nyingine,something,,,something unique,
Simple minded inakuwa ngumu sana kumwelewa
Kuukosa huo uwenyekiti wa Pac kwa maiaka 4 ndo kimemvuruga Zito hadi kuwaza mambo ya kihaini.. mengine yote kwake iikua sio ishu..Nasema Zitto akipewa uenyekiti wa Pac leo atasahau hadi chama chake
Uongo unawasaidia nini ninyiKuna uzi humu uliwahi kuzungumzia Zitto jinsi alivyokuwa anapewa fedha na watu wa usalama