Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Unamaana kuwa vyama vya upinzani vinashindana kwenda kujipendekeza kwa ccm?Zitto kapanic kwa lile walilofanya CDM jana, kashtukizwa hakutegemea, anatamani ile nafasi ingekuwa yake kwa tabia zake za ki_opportunist, toka jana ni twitter, insta habanduki huko, eti leo Zitto anataka siasa za mapambano anawafundisha CDM!, wonders shall never end, wakati ule anaenda kukutana na JK watu wanamuuliza kulikoni anasema JK ni sawa na babake, vipi leo Magufuli sio sawa na babake pia?!
Yaani Mbowe kavizidi speed vyama vingine ameviwahi kwenda kupiga magoti kwa ccm?
Sifa kwa ccm mipango yao inaenda Kama walivyopanga.