Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

Zitto kapanic kwa lile walilofanya CDM jana, kashtukizwa hakutegemea, anatamani ile nafasi ingekuwa yake kwa tabia zake za ki_opportunist, toka jana ni twitter, insta habanduki huko, eti leo Zitto anataka siasa za mapambano anawafundisha CDM!, wonders shall never end, wakati ule anaenda kukutana na JK watu wanamuuliza kulikoni anasema JK ni sawa na babake, vipi leo Magufuli sio sawa na babake pia?!
Unamaana kuwa vyama vya upinzani vinashindana kwenda kujipendekeza kwa ccm?
Yaani Mbowe kavizidi speed vyama vingine ameviwahi kwenda kupiga magoti kwa ccm?

Sifa kwa ccm mipango yao inaenda Kama walivyopanga.
 
Upo tayari kuandamana kupinga yanayofanywa na JPM? Au ndo nguvu ya kalamu inakupa jeuri ya kuandika unachopenda. Watu wengi humu waongo na wanafiki wakiambiwa wakaandamane hutowaona, we Paschal umekuwa ukisupport yanayofanywa na watawala wa awamu ya 5. Pascal Mayalla,
 
Egnecious,
Please let him be, eventually he will just burn out of energy.
Unakumbuka ile hadithi ya kijana ambaye alikuwa anapenda kuwafanyia masikhara wana kijiji wenzake kuwa wajifungie ndani kwani kundi la mbwa mwitu linakaribia makazi yao. Wanachi wakiitikia wito wake kwa kufunga milango, yeye alibaki anacheka sana uoga wa wana kijiji wenzake. Kuna siku alifanya hivyo na wanakijiji wakaitikia wito kwa kufunga milango yao na kwa bahati mbaya yule kijana kwake ilikuwa hatua kidogo hakuweza kufika na hakuna aliyemfungulia mlango na matokeo yake akararuriwa na hao mbwa mwitu.
 
Kumbetia Zitto unaweza ukafilisika maisha

Huyo mtu sio wa kumwamini
 
Kuna uzi humu uliwahi kuzungumzia Zitto jinsi alivyokuwa anapewa fedha na watu wa usalama
 
Mimi Zitto huwa nampinga Sana kwa Mengi kwa hili nakubaliana naye Mbowe biashara zake zimekufa,Uwezekano wa chama chake kuwa na wabunge na madiwani wengi ili apate ruzuku kubwa ya kula kuishi mjini uwezekano haupo hivyo ajira peker iliyosalia kwake Ni ubunge

Kaenda Mwanza kujikomba kwa Magufuli Kama mwebyekiti wa CCM kuwa imwonee huruma imwachie ubunge wa Hai na hata Kama haitamwachia ubunge basi Magufuli amwonee huruma ampe uteuzi wowote ili awe na uhakika wa kula na kuishi .

Zitto Yuko sahihi asilimia 100
 
Write your reply...zitto namkubali sana ingawa mimi ni chadema damu damu natoka kijiji cha NKUNGWE alituletea kivuka cha mto LUICHE kuvuka kwenda kijiji cha KIDAHWE.
 
Hivi kwanini kila anayewapinga lazima museme sio Mtanzania?
 
mnyonge hawezi kuomba maridhiano na mwenye nguvu, bali anajisalimisha, mwenye nguvu ndio anaomba maridhiano na mnyonge
 
Pascal Mayalla, Unaonaje busara iliyotumika na Chadema ikapuuzwa na Magufuli, 2020 Magufuli akafanya tena uchafuzi ,alafu wapinzani wakalianzisha magu kwa kutokutaka kujaribiwa akamwaga damu ya watanzania kama 500 kwa mfano, nani ataonekana mpumbavu na nani ataonekana na busara.

Vitu vingine mayala inabidi utumie akili kufikia lengo si kila kitu kutumia nguvu,magu anavyoonekana kumwaga damu kwake si tatizo na ilo mbowe ameliona kwa hiyo wanajivua lawama mapema kama kuna la kutokea huko mbele wasije sema kwa nini amkuomba muhafaka.

Alafu isitoshe mayala amani ya nchi hii Ipo mikononi mwa upinzani kesho upinzani ukisema ukisema basi tumechoka ,kitakachofuata ni damu mayala tunazifahamu sana akili za watawala wetu awataki kujaribiwa watataka tu kujimwambafai kuonyesaha uwezo wao hapo hasara in kwa wote watashitakiwa watu na viburi vitaisha na misaada tutakosa.

Hivi kwa nini tusijifunze kwa wakenya kabudi alifuata nini kule na aliongea nini kule, kwa mawazo yako mayala unataka na sisi tuchinjane ndio akili ikae sawa,OK akiwazacho mpumbavu ndio umtokea,si mimi ni maandiko yanasema ,njia tulioiamua kupita itatufikisha tunapotaka.

Kila mchuma janga ula na wakwao.
 
Egnecious,

Ujaweka namba za simu mbona.Umeandika chuki kwa Zitto utomfikia kwa vyovyote. Umeonyesha chuki kwa wazungu kitu kisichokweli hakuna taifa lililowahi kishirikiana na wazungu likawa fukara ni sisi ndo tumeshindwa watumiwa kwa msisitizo Wa watawala wetu wasiopenda haki.Watz uona kila kitu wao ndo uamua kama ayasemayo ni ya kuupuuza watayapuuza.
 
Back
Top Bottom