Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jambo linashangaza sana. Sikutegemea Chadema wangefanya vile, wanampa legitimacy mtu anayetufanyia (sisi na wao) vituko vya ajabu kabisa. Eti wanamuomba demokrasia, sijui maridhiano, blah blah..Nashangaa kwanini CHADEMA hawajioni kama wamekosea. Yani Mbowe kawa Mungu mtu. Mnampigiaje magoti mtu aliyewafanyia kila aina ya unyama????
Ajabu huyo ndumila kuwili sijui nini anakataa Leo!
Na wasiwasi hujamuelewa zitto, ikiwa yy anakuja na data hata ww ungefanya hvo kumpinga