Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu walichofanya chadema ni uungwana, walikwenda kwenye sherehe za taifa letu.kuomba maridhiano ni uzalendo wenyewe.
Watu hata polite language hatuijui, mara ngapi mtu unaenda hotelini unasema naomba unihudumia chakula furani, kama vile hicho chakula unapewa bure wakati unanunua kwa hela yako mwenyewe, au mara ngapi unamwambia mtu naomba unilipe deni langu, wakati hiyo ni hela yako na alikuja mwenywe kukukopa si kwamba ulimbeleza kumpa huo mkopo.Zitto anaweza kuwa na point. Why CHADEMA wanaomba maridhiano sasa? Kwanini hawakuomba hicho wanachoita maridhiano kabla hata ya uporaji uliofanywa na CCM kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?
Magufuli anaweza kuwapotezea kwanza na kuja kuwajibu December 2020 baada ya kuwa amewapora 98% ya majimbo yote
Zitto anaweza kuwa na point. Why CHADEMA wanaomba maridhiano sasa? Kwanini hawakuomba hicho wanachoita maridhiano kabla hata ya uporaji uliofanywa na CCM kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?
Magufuli anaweza kuwapotezea kwanza na kuja kuwajibu December 2020 baada ya kuwa amewapora 98% ya majimbo yote
Una MOYOHayo ni maoni ya Zitto Kabwe wa ACTwazalendo ambae ni rafiki yetu na mpinzani mwenzetu
Sisi tuko nyuma ya maridhiano project hata kama yatamkweza mhe Zitto Kabwe ambae maoni yake binafsi (kuwa Mwenyekiti wetu ni mnafiki)na sio ya chama cha ACT wazalendo
Ninaimani maridhiano yakienda vizuri naye atayaona matunda
Umoja ni nguvu
Zitto kapanic kwa lile walilofanya CHADEMA jana, kashtukizwa hakutegemea, anatamani ile nafasi ingekuwa yake kwa tabia zake za ki_opportunist, toka jana ni twitter, insta habanduki huko, eti leo Zitto anataka siasa za mapambano anawafundisha CHADEMA!, wonders shall never end, wakati ule anaenda kukutana na JK watu wanamuuliza kulikoni anasema JK ni sawa na babake, vipi leo Magufuli sio sawa na babake pia?!
Zito Kabwe kama kweli una nia nzuri na Wananchi wa Tanzania tolea ufafanuzi kuhusu wewe kwenda kuchukua mabulungutu ya pesa Ikulu wakati wa JMK alipokuwa madarakani baada ya kuikosoa Serikali yake. Pili Tolea maelezo pesa zote ambazo ulipewa au kukopa kupitia NSSF. La mwisho tolea ufafanuzi kuhusu majungu ya kumzushia JPM kifo mara alipotoka kwenye ziara ya Luangwa na kusambaza video fake..
Nitakuwa wa mwisho kumwamini Zitto, huyu ni muongo kupitiliza, huyu hata CCM wanamjua hamaanishi lolote bali anawauza wenzake ilhsli yeye usiku anakula meza moja na ccm