Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Njaa tuu zinakusumbuaaaAmeandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Asante Zito, asante sana ingawa huwa sikuamini sana. Kwa hili hongera sana ACT!Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.
View attachment 2436886
Ndugu kila kitu sio udini, tukiwa hivyo mbona tujiharibia utu wetu.Zitto na genge lake Udini unawasumbua sana. Acheni siasa za kupambana na Ukristo pimbi nyie
Anamtetea shehe mwenzake huyo!Ndugai ndio atoe jibu sasa!
Sioni impact ya kesi hii kipindi hiki. Kama Mahakama baada ya kesi hii ingemrejesha Ptof. Assad kwenye nafasi yake ningeona umuhimu wa matokeo ya mashauri kama haya maana ni mengi.Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.
View attachment 2436886
Kwani Magufuli alikuwa akipigania Ukiristo alipomtengua Assad?Zitto na genge lake Udini unawasumbua sana. Acheni siasa za kupambana na Ukristo pimbi nyie
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.
View attachment 2436886
Sasa udini uko wapi hapa?Zitto na genge lake Udini unawasumbua sana. Acheni siasa za kupambana na Ukristo pimbi nyie
Tunaset precedence kuwa kitendo hicho ni unlawfully ili kisijirudie tena.Naona bado vita na marehemu inaendelea.
Kwahiyo Prop Assad anarudi kwenye kiti chake kumalizia siku zake.?