Zama zipi ?Zamani hiyo kawaida sana
Ilikuwa ni kawaida, ila aweke ushahidi kwa Profesa ....Zamani hiyo kawaida sana
Wakati Jaffar anakuwa MussaZama zipi ?
Kurudia shule sio kutumia cheti cha mtu mwingine kama ilivyosemwa hapo juu....Prof alishaelezea kuhusu jina lake na vip kuitwa Assad.Hajatumia cheti Cha mtu ni kama wengine waliorudia darasa la Saba kupata nafasi ya kuingia sekondari.Nilijua Hilo kupitia mtu aliyesoma Naye shule ya msingi huko Mkomazi Tanga siku nyingi hata kabla ya Magufuli kuwa Rais.Wapo wengi waliorudia na wanatumikia nchi vizuri tu.
Hakuna ushuhuda zaidi ya huu kwa waliocheza cha ndimu pamoja!Ilikuwa ni kawaida, ila aweke ushahidi kwa Profesa ....
Bila ushahidi huu ni umbea tu
Hakuna ushahidi hakuna kesi..........Hakuna ushuhuda zaidi ya huu kwa waliocheza cha ndimu pamoja!
Alirudia shule na kubadilisha majina kwa kifungu gani cha Sheria?Prof alishaelezea kuhusu jina lake na vip kuitwa Assad.Hajatumia cheti Cha mtu ni kama wengine waliorudia darasa la Saba kupata nafasi ya kuingia sekondari.Nilijua Hilo kupitia mtu aliyesoma Naye shule ya msingi huko Mkomazi Tanga siku nyingi hata kabla ya Magufuli kuwa Rais.Wapo wengi waliorudia na wanatumikia nchi vizuri tu.
Ndio sababu nimekuambia hiyo ni kawaida sanaHakuna ushahidi hakuna kesi..........
Kumbe tunajadili jambo ambalo lilikuwa kawaida enzi zile. Mleta mada anafute kipande cha kutumia jina la mtu..Ndio sababu nimekuambia hiyo ni kawaida sana
Ukirudia shule unabadilisha jina? Basi sawa.Prof alishaelezea kuhusu jina lake na vip kuitwa Assad.Hajatumia cheti Cha mtu ni kama wengine waliorudia darasa la Saba kupata nafasi ya kuingia sekondari.Nilijua Hilo kupitia mtu aliyesoma Naye shule ya msingi huko Mkomazi Tanga siku nyingi hata kabla ya Magufuli kuwa Rais.Wapo wengi waliorudia na wanatumikia nchi vizuri tu.
Duh!....hizi ni speculation tu...hata wewe huna uthibitishoWakati ule nilishangaa ni kwanini kwenye sherehe ya kuwaapisha majaji CAG Prof Assad alikubali kubadilisha kauli na kusema hapakuwa na trilioni 1.5 zilizoibiwa wakati siku chache kabla alisema ziliibiwa kupitia mahojiano na Azam TV.
Kumbe baada ya kuongea kwamba fedha zimeibiwa aliitwa pembeni na kukumbushwa kwamba jina lake halali ni Jaffari na hivyo atulize mapepe na kubadilisha kauli yake hadharani la sivyo ataumbuliwa. Ndipo akaitwa kwenye ile shughuli ya kuapisha majaji.
Wanakuja na njia ya kujaribu kupunguza mashambulizi kwa awamu ya tano. Njia moja nyepesi sana ya kujaribu kuficha aibu inayoiandama serikali ya awamu ya tano. Na nina uhakika hawezi kuweka hadharani huo ushahidi uliomuomba.Weka ushahidi wa kutumia jina la mtu mwingine shule...............
Kuiba mitihani ni mtihani piaVip Makamba aliyeiba Mthihani wa kidato Cha nne na kufutiwa matokeo?
Kutumia cheti cha mtu mwingine Form Four ni dhambi kubwa!!!!! Hili halisamehekiMamlaka ya uteuzi ilitakiwa kufanya uchunguzi wa kutosha kipindi kile anateuliwa na rais Kikwete maana ni kweli kwamba alitumia cheti cha mtu mwingine cha kidato cha nne. Watu wengi miaka ya nyuma walifanya hivyo.
Wakati ule nilishangaa ni kwanini kwenye sherehe ya kuwaapisha majaji CAG Prof Assad alikubali kubadilisha kauli na kusema hapakuwa na trilioni 1.5 zilizoibiwa wakati siku chache kabla alisema ziliibiwa kupitia mahojiano na Azam TV.
Kumbe baada ya kuongea kwamba fedha zimeibiwa aliitwa pembeni na kukumbushwa kwamba jina lake halali ni Jaffari na hivyo atulize mapepe na kubadilisha kauli yake hadharani la sivyo ataumbuliwa. Ndipo akaitwa kwenye ile shughuli ya kuapisha majaji.
Alipokubaliana na hali akawa ameshajimaliza kabisa maana sasa mwendazake akaamua kumuondoa kabisa baada ya miaka mitano kuisha. Ni wakati sasa ajitokeze na kuomba radhi umma wa watanzania.
Phillips ungesoma wakati wetu wala usingehitaji ushahidi kwa sababu hiyo ilikuwa ni kawaida sanaWanakuja na njia ya kujaribu kupunguza mashambulizi kwa awamu ya tano. Njia moja nyepesi sana ya kujaribu kuficha aibu inayoiandama serikali ya awamu ya tano. Na nina uhakika hawezi kuweka hadharani huo ushahidi uliomuomba.
Acha upuuuzi wewe!!! Kuiba mitihani si sawa na kutumia cheti cha mtu cha form four!!!!!!!!!! Ingawa zote ni dhambi hii ya cheti ni kubwa. Na makamba anatakiwa kufukuzwa kwa kosa la kuiba mitihani!!!!!Vip Makamba aliyeiba Mthihani wa kidato Cha nne na kufutiwa matokeo?