Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

Prof alishaelezea kuhusu jina lake na vip kuitwa Mussa.Hajatumia cheti Cha mtu ni kama wengine waliorudia darasa la Saba kupata nafasi ya kuingia sekondari.Nilijua Hilo kupitia mtu aliyesoma Naye shule ya msingi huko Tanga siku nyingi hata kabla ya Magufuli kuwa Rais.Wapo wengi waliorudia shule na wanatumikia nchi vizuri tu.
 
Prof alishaelezea kuhusu jina lake na vip kuitwa Assad.Hajatumia cheti Cha mtu ni kama wengine waliorudia darasa la Saba kupata nafasi ya kuingia sekondari.Nilijua Hilo kupitia mtu aliyesoma Naye shule ya msingi huko Mkomazi Tanga siku nyingi hata kabla ya Magufuli kuwa Rais.Wapo wengi waliorudia na wanatumikia nchi vizuri tu.
Kurudia shule sio kutumia cheti cha mtu mwingine kama ilivyosemwa hapo juu....
 
Prof alishaelezea kuhusu jina lake na vip kuitwa Assad.Hajatumia cheti Cha mtu ni kama wengine waliorudia darasa la Saba kupata nafasi ya kuingia sekondari.Nilijua Hilo kupitia mtu aliyesoma Naye shule ya msingi huko Mkomazi Tanga siku nyingi hata kabla ya Magufuli kuwa Rais.Wapo wengi waliorudia na wanatumikia nchi vizuri tu.
Alirudia shule na kubadilisha majina kwa kifungu gani cha Sheria?

Samahani lakini!
 
Prof alishaelezea kuhusu jina lake na vip kuitwa Assad.Hajatumia cheti Cha mtu ni kama wengine waliorudia darasa la Saba kupata nafasi ya kuingia sekondari.Nilijua Hilo kupitia mtu aliyesoma Naye shule ya msingi huko Mkomazi Tanga siku nyingi hata kabla ya Magufuli kuwa Rais.Wapo wengi waliorudia na wanatumikia nchi vizuri tu.
Ukirudia shule unabadilisha jina? Basi sawa.
 
Wakati ule nilishangaa ni kwanini kwenye sherehe ya kuwaapisha majaji CAG Prof Assad alikubali kubadilisha kauli na kusema hapakuwa na trilioni 1.5 zilizoibiwa wakati siku chache kabla alisema ziliibiwa kupitia mahojiano na Azam TV.

Kumbe baada ya kuongea kwamba fedha zimeibiwa aliitwa pembeni na kukumbushwa kwamba jina lake halali ni Jaffari na hivyo atulize mapepe na kubadilisha kauli yake hadharani la sivyo ataumbuliwa. Ndipo akaitwa kwenye ile shughuli ya kuapisha majaji.
Duh!....hizi ni speculation tu...hata wewe huna uthibitisho
 
Mara nyingi vilaza wana bla bla nyingi kama Hugo assad
 
Weka ushahidi wa kutumia jina la mtu mwingine shule...............
Wanakuja na njia ya kujaribu kupunguza mashambulizi kwa awamu ya tano. Njia moja nyepesi sana ya kujaribu kuficha aibu inayoiandama serikali ya awamu ya tano. Na nina uhakika hawezi kuweka hadharani huo ushahidi uliomuomba.
 
Mamlaka ya uteuzi ilitakiwa kufanya uchunguzi wa kutosha kipindi kile anateuliwa na rais Kikwete maana ni kweli kwamba alitumia cheti cha mtu mwingine cha kidato cha nne. Watu wengi miaka ya nyuma walifanya hivyo.

Wakati ule nilishangaa ni kwanini kwenye sherehe ya kuwaapisha majaji CAG Prof Assad alikubali kubadilisha kauli na kusema hapakuwa na trilioni 1.5 zilizoibiwa wakati siku chache kabla alisema ziliibiwa kupitia mahojiano na Azam TV.

Kumbe baada ya kuongea kwamba fedha zimeibiwa aliitwa pembeni na kukumbushwa kwamba jina lake halali ni Jaffari na hivyo atulize mapepe na kubadilisha kauli yake hadharani la sivyo ataumbuliwa. Ndipo akaitwa kwenye ile shughuli ya kuapisha majaji.

Alipokubaliana na hali akawa ameshajimaliza kabisa maana sasa mwendazake akaamua kumuondoa kabisa baada ya miaka mitano kuisha. Ni wakati sasa ajitokeze na kuomba radhi umma wa watanzania.
Kutumia cheti cha mtu mwingine Form Four ni dhambi kubwa!!!!! Hili halisameheki
 
Wanakuja na njia ya kujaribu kupunguza mashambulizi kwa awamu ya tano. Njia moja nyepesi sana ya kujaribu kuficha aibu inayoiandama serikali ya awamu ya tano. Na nina uhakika hawezi kuweka hadharani huo ushahidi uliomuomba.
Phillips ungesoma wakati wetu wala usingehitaji ushahidi kwa sababu hiyo ilikuwa ni kawaida sana

Bahati nzuri kuna mdau keshasema hapa kuwa Jaffar mwenyewe alishakiri kwamba alibadili jina ilu akariri darasa la saba

Sasa unataka ushahidi gani?

Sisi wahenga tunajuana sana bwashee
 
Vip Makamba aliyeiba Mthihani wa kidato Cha nne na kufutiwa matokeo?
Acha upuuuzi wewe!!! Kuiba mitihani si sawa na kutumia cheti cha mtu cha form four!!!!!!!!!! Ingawa zote ni dhambi hii ya cheti ni kubwa. Na makamba anatakiwa kufukuzwa kwa kosa la kuiba mitihani!!!!!
 
Back
Top Bottom