johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Zitto Kabwe ni mpinzani pekee mwenye uthubutuZitto alitaka tafsiri. Ili kuweka rekodi sawa. Na amefanikiwa kongole kwake.. Magufuli alikuwa jambazi wa kila kitu.
Sheria imetamka wazi vipindi viwili renewable, unless otherwise iwepo sababu za kutokuendelea.Magufuli aliamua kutoongeza mkataba wa Asaad. Sheria ilimruhusu kufanya hayo. Leo mahakama inasema ile sheria inapingana na katiba. Sheria yenyewe iliwekwa kabla Magufuli hajawa rais wa JMT. Sasa hapo Magufuli ana kosa gani?
Kwanini asielezee changamoto zinazotukumba sasa...???uthubutu upi ??Zitto Kabwe ni mpinzani pekee mwenye uthubutu
Issue sio kutumika kwa case number... nimekuambia tumia common sense na kutafakari ikiwa kweli unaamini ni ya 2022.Hata sioni ubachojaribu kukitetea hapa.
Case no. inatumika kuonesha mwaka kesi ilipofunguliwa, hiyo imeandikwa no 8 of 2022 sijui ndio unataka kubisha na kuita typing error, basi nipe namba ya kesi yako na mwaka wake tuione.
Hili jamaa huwa jinga sana na sijui wanaomuona huyu mtu sijui msomi aisee km wasomi ndio hawa na kina Lissu kuna wasomi vichekesho sana hiyo nchi
Na mikutano ya hadhara kuzuiwa mpaka saa hii katiba inasemaje ??!
Kwani hilo na yule aliemuandikia Barua Ndugai ajiuzulu yana tofauti gani? Si yaleyale tu? Ata kwenye vyaka vyetu yapo, sawa tu na kufukuzwa kwa kina Prof Kitila Mkumbo. Kama ni hivi tuna vichaa wengi sana.
Nimekumbuka jinsi jiwe alivyo wafyeka wapinzani wa michongo nikabaki nacheka tu yaani hadi leo kabwela mzito hana jimbo kabaki kuwa chawa tu wa mama 😂😂
Naomba Mungu atutunie mwingine wa kufanana na jpm aje aebdekeze alipoishia jpm
Utofauti wake majina tu ila Chama kina Katiba yake na pia Serikali inaongozwa kwa kufuata Katiba.Tofautisha serikali na chama Cha upinzani. Akina mkumbo ni kesi tifauti na CAG.
Yeye na Prof Mkandala ndio wanatusaidia Nchi kupata Katiba mpyaKwanini asielezee changamoto zinazotukumba sasa...???uthubutu upi ??
Mbatia si alienda! Kilichotokea si ulikiona?La Ndugai nenda Mahakamani na wewe kama Zitto Kabwe. Acha kulialia hapa msukule wa Magufuli sukuma gang wahedi.
Are you sure of this?
Hii case imepewa namba 8/2022 maana yake imefunguliwa Samia akiwa madarakani, ulichoandika hapo juu kuwa ilifunguliwa Magufuli akiwa madarakani sio kweli.
Simply, Zitto alisubiri mpaka mama yake aingie madarakani ndio akafungue hiyo kesi, ndio maana sasa namtaka kama kweli Zitto sio mnafiki, kuna kesi nyingine Samia anavunja Katiba kwa kuzuia mikutano ya kisiasa, na yeye akiwa kama mdau, hivyo pia namshauri akamshtaki Samia.
Hahaha....... naunga MkonoNimekumbuka jinsi jiwe alivyo wafyeka wapinzani wa michongo nikabaki nacheka tu yaani hadi leo kabwela mzito hana jimbo kabaki kuwa chawa tu wa mama 😂😂
Naomba Mungu atutunie mwingine wa kufanana na jpm aje aebdekeze alipoishia jpm
Muendelezo wa vita kwa marehemu ndio imefanikisha kuwezekana kutoka hayo maamuzi bila ya hivyo sidhani kama ingewekana, maamuzi hayo yasingetoka Magufuli angekuwa bado yupo madarakani ni kama sasa rais aliye madarakani atavunja katiba na hakuna kitakachofanyika na ndio maana nikasema kilichotokea ni unafki tu ila wenye chuki na marehemu kwao kitu chenye kuwafurahisha.Chuki tena?!
Yaani upande mmoja unakiri kwamba "alikosea", lakini upande mwingine unadai mwendelezo wa chuki!
Sasa ulitaka kesi ingetupwa wakati ilishafunguliwa, ama?!
Na ingetupwa vp wakati kesi ilikuwa ni dhidi ya RAIS WA JAMHURI?!
Hivi huoni maamuzi ya hiyo kesi yanatoa mwongozo kwa marais watakaofuata na huyu aliye madarakani?!
Kuna watu washenzi sana. Yani likimburu linakaa kumzungumzia mtu ambae tayali ashafariki. Anashindwa kupambana na hali na wakati tulonao sasa mgumu linakaa kuongea asubui jion mchana kama vile mdomo wake ulilambwa na mbwa.