econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Muendelezo wa vita kwa marehemu ndio imefanikisha kuwezekana kutoka hayo maamuzi bila ya hivyo sidhani kama ingewekana, maamuzi hayo yasingetoka Magufuli angekuwa bado yupo madarakani ni kama sasa rais aliye madarakani atavunja katiba na hakuna kitakachofanyika na ndio maana nikasema kilichotokea ni unafki tu ila wenye chuki na marehemu kwao kitu chenye kuwafurahisha.
Unafiki gani?. Mahakama imetoa maamuzi unasema inafiki. Lissu akisema mahakama zetu sio huru mnampinga.