Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

Muendelezo wa vita kwa marehemu ndio imefanikisha kuwezekana kutoka hayo maamuzi bila ya hivyo sidhani kama ingewekana, maamuzi hayo yasingetoka Magufuli angekuwa bado yupo madarakani ni kama sasa rais aliye madarakani atavunja katiba na hakuna kitakachofanyika na ndio maana nikasema kilichotokea ni unafki tu ila wenye chuki na marehemu kwao kitu chenye kuwafurahisha.

Unafiki gani?. Mahakama imetoa maamuzi unasema inafiki. Lissu akisema mahakama zetu sio huru mnampinga.
 
Asad alishindwa kusoma alama za nyakati kwa kubishana na muhimili uliojichimbia.Hakuna Rais Duniani anayetaka maovu ya serikali yake yajulikane.Asad kiprotokali ilipaswa ajiuzulu kulinda heshima yake lakini siyo kutaka Rais awe submissive kwake!
Magufuli was wrong legally but politically correct!
 
Nani kakuambia kitu ili kibadilike lazima kila mtu akijue? Hizo katiba zilizoandikwa huko nyuma, wananchi wote walikuwa wameeIewa zilizokuwa hapo awali? Au ni mambo ya bendera fuata upepo?

Hilo ndio tatizo la tanzania kupata katiba mpya
 
Kwa hiyo wote hawastahili kutuongoza maana woote wanatumia Akili za kuambiwa na wazungu!

Sijawahi Ona kiongozi wa upinzani mwenye hoja wa kizazi hiki tangu walipoondoka kina prof Baregu na Dk Slaa!

Hawa wa sasa ni makapi tupu!

Ebu fikiria taasisi Makini unaweza Mpa mtu kama Pambalu kuongoza hub ya chama yaani vijana?

Au hao CCM-Asali na wapaka Mikororogo wenye uteuzi wa kutia Shaka?

Tunaongozwa pande zote na opportunist tupu!

Woote wezi tupu!

Ila umamluki ni janga zaidi.

Acha kuingiza CHADEMA kwenye ujinga wenu wa CCM . Unajiona wa maana na kidharau wengine. Kama wewe ni Bora mbona unalialia kila siku hapa jamii forum. Kwanini usiende field?. Achana na CHADEMA kabisa dharau zako peleka CCM
 
Pamoja na haki hiyo kwa Prof lakini bado maamuzi ya hii kesi hayana impact kwenye taifa kiujumla.
Mfano mdogo katiba inaruhusu mikutano ya hadhara na maandamano ya amani lakini haifanyiki. Je, hapa katiba haijavunjwa? Na kama imevunjwa nini msimamo wa mahakama hii leo tunayoiita ipo huru baada ya kutoa maamuzi yanayofurahisha machoni.

Tatizo la nchi yetu Viongozi hawaheshimu katiba. Wanaidharau katiba na kufanya mambo kwa mawazo yao.
 
Mbatia aliondolewa kihalali.
Mbatia aliondolewa kihalali wapi?
Screenshot_2022-12-05-22-32-29-01_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
 
Bora akina Zitto wapo hai, yeye Magufuli alifyekwa moja kwa moja.
Kama alifyekwa moja kwa moja kwa nini walio mfyeka Walioshindwa kufyeka kumbukumbu za ubabe wake na bado anakumbukwa sana kwa huo ubabe?

Zito kamtaja hapa jpm ambaye ni marehemu halafu wewe unabwabwaja tu eti walimfyeka na hayupo tena!

Nikuambie tu kuwa una mawazo mgando.
 
Asad alishindwa kusoma alama za nyakati kwa kubishana na muhimili uliojichimbia.Hakuna Rais Duniani anayetaka maovu ya serikali yake yajulikane.Asad kiprotokali ilipaswa ajiuzulu kulinda heshima yake lakini siyo kutaka Rais awe submissive kwake!
Magufuli was wrong legally but politically correct!
Huu ndo ujinga ambao anatusumbua.

Rais kutokuwajibishwa.
 
Zitto na genge lake Udini unawasumbua sana. Acheni siasa za kupambana na Ukristo pimbi nyie
Ungeweza kujenga hoja yako bila kuhusisha UDINI. Rais wa nchi hii haongozi Kikristo kwa maana ya Amri kumi wala Sharia za Kiislam. Tusihusishe dini na uongozi wa nchi. Pili, narudia tumuache mpendwa wetu aliyekuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dk. John Magufuli apumzike kwa amani. Inachukiza mno kila mara kumhusisha na mambo ya kidunia ambayo hawezi kuyajibu.

#Tujadili umoja na mshikamano wa kitaifa na namna ya kusaidia maono ya Mhe. Rais, Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wetu, Dk. Samia.🙏🙏🙏
 
Magufuli alikuwa sahihi kisiasa Ila alikosea kisheria.Asad na yeye alipaswa kusoma alama za nyakati, ukiona umuivi na mtawala wa nchi, kimaadili Asad alipaswa ajiuzulu kulinda heshima yake na ashukuru awakumuua.
 
Marehemu anawatesa watu, naona huwa wakishtuka usiku wanajua bado yu hai
 
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter

Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa J. Assad kama CAG.

View attachment 2436886
Amefarijika nini mnafiki mkubwa huyu zitto kabwe. Walimpa kichwa huyo cag kwamba hawezi timuliwa wakati kazi yenyewe siyo kajipa mwenyewe.
I hope wanasheria wa serikali watakata rufaa.
 
Huu ndo ujinga ambao anatusumbua.

Rais kutokuwajibishwa.
Acheni siasa maandazi,huwezi kupingana na mamlaka yako ya uteuzi.Never on Earth,Asad alipaswa ajiuzulu tena ashukuru akuwa assassinated!
 
Back
Top Bottom