bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Hebu punguza jazba kwani hao majaji waliotoa hukumu wote ni waislamu?Zitto na genge lake Udini unawasumbua sana.
Acheni siasa za kupambana na Ukristo pimbi nyie
Hapa unapiganiwa mfumo ambao utawafaidisha wote watakaoteuliwa katika cheo hicho na wala siyo huyo Assad kwani yeye ndiyo imeshatoka hiyo.
Hivi tuseme wakati Mtikila alipokuwa anapigania haki ya kuweka mgombea bila ya kuwa na chama alikuwa anapigania mfumo kristo?