Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

Sioni impact ya kesi hii kipindi hiki. Kama Mahakama baada ya kesi hii ingemrejesha Ptof. Assad kwenye nafasi yake ningeona umuhimu wa matokeo ya mashauri kama haya maana ni mengi.

Impact itakuwepo, kwani baada ya hapo ina maanish Profesa atadai fidia, na pesa zote alizokosa alipotenguliwa kwenye nafasi hiyo. mfano mishara yake na marupurupu yake yote! Hapo mlipaji ni Serikali - kwa kifupi walipaji ni Wa tanzania walipa kodi wote!
 
Zitto anatengeneza taswira kupitia Asad ili ionekane Waislamu wanaonewa na kwamba yeye hapendi kuona wakionewa lengo kuu ni kutafuta huruma ya kuungwa mkono na jamii ya dini ya Kiislamu katika chama chake.
 
Asante Zito, asante sana ingawa huwa sikuamini sana. Kwa hili hongera sana ACT!
Asante ya nini mwenzako anatafuta namna ya kuifanya Act iwe kama Cuf kwa hiyo ni lazima atafute njia ya kuwaingiza mkenge Waislamu wasio na uelewa mkubwa ambao wao hudhani Zitto ni mtetezi wao kumbe ana maslahi yake binafsi kifupi ni kwamba Zitto na Maalim Seif wanafanana ni watu wasioaminika wabinafsi wanaopenda madaraka ukubwa huamini mawazo yao ndio sahihi kuliko ya wengine.
 
Sasa udini uko wapi hapa?
Wenye akili wanaona ila ni kwa maslahi ya kisiasa si unajua baadhi ya waliokuwa viongozi wa Cuf Zanzinzibar walijiunga Act akiwemo kiongozi wao Maalim Seif sasa ni njia gani itumike kuwaleta Act waliokuwa wapenzi na wanachama wa Cuf Zanzinzibar hicho ndicho kinachomuumiza Zitto.
 
Zitto anatengeneza taswira kupitia Asad ili ionekane Waislamu wanaonewa na kwamba yeye hapendi kuona wakionewa lengo kuu ni kutafuta huruma ya kuungwa mkono na jamii ya dini ya Kiislamu katika chama chake.

Hapo utakuwa umekosea . Hivi wale majaji wote ni Waislamu ? Nadhani muhimu ni kuwepo mfumo wa haki ambao anapoonewa mtu , awe na dini yoyote au awe hana dini aweze kupata haki zake kisheria
 
Hapo utakuwa umekosea . Hivi wale majaji wote ni Waislamu ? Nadhani muhimu ni kuwepo mfumo wa haki ambao anapoonewa mtu , awe na dini yoyote au awe hana dini aweze kupata haki zake kisheria
Majaji wako sahihi tatizo Zitto anatafuta huruma kisiasa ya kuungwa mkono na Waislamu kupitia Asad walio onewa ni wengi kwa nini iwe kwa Asad au kwa sababu ana sigda.
 
Haah!! Kijana unakazania ndo michezo yako tangu jela ..Tambua huko kwenu mnaolewa sana na wazungu😂😂then mnapewa mangua ya mitumba na viatu.
Mashehe wanakupasua kwa nusu ya kitimoto ukivaa kanzu unavuja linda marinda wewe shoga mzee
 
Back
Top Bottom