ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Zito kama kawaida amesema chama chake kitakuja na uchambuzi
Ni masaa Sasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa serikali ya awamu ya tano wako kimya.
Twita Zito Kabwe yuko kimya kabisa ,au ndiyo kusema asali tamu sana?