Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

Zito kama kawaida amesema chama chake kitakuja na uchambuzi
 
Kwa Mbowe sahau kabisa hilo, Mbowe tayari ni Mwana CCM, sio mpaka uone kadi yake

Anaunga mkono serikali tawala.

Labda Zitto Kabwe, naye ataliongelea lakini hutasikia hatua yoyote ikichukuliwa.
 
Walikuwa wanataga uhuru wa kuongea, sasa hivi wenyewe wanadai uhuru wanao ila hawajui cha kuongea, waongee nini.

Ila sio mbaya nchi ina uhuru wa kuongea huku watu wanajipigia.
 
Wamepaliwa Asali hawawezi kuongea
 

Bado ripoti haijawekwa hadharani. Subiri ifike bungeni usiwe na haraka.
 

Pesa muibe CCM halafu msubiri CHADEMA waongeee. Toeni ujinga hapa.
 
Pesa muibe CCM halafu msubiri CHADEMA waongeee. Toeni ujinga hapa.
Riipoti ya cag ilopita hata treni mtumba alisingiziwa Magu,

Ngoja tuone saiz mtasemaje. Au ndo mtalinda maridhiano!!!
 
Zitto amekuwa akisikika kuwa awamu ya tano chini ya hayati JPM kulikuwa na ufisadi .

Tuhuma hizi alizikazia na kupigia misitali kupitia ripoti ya CAG.

Leo hii ripoti ya CAG imeanika uuozo na wizi wa pesa za umma huku Rais Samia akibembeleza walioba pesa za umma waache kazi! Kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…