Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

Ndo wanasiasa walivyowanafiki
 
Zito kwabwela ni fala tu. Nilisema na narudia tena mwisho wake utakua mbaya sana.
 
Hakuna Wapinzani Tanzania
Waliopo ni Chumia Tumbo tu
Tutabaki hivi hivi kutegemea watu wawili au watatu sisi tukibaki kwenye keyboard na TV.
Pambana na maisha yako nchi imeshatekwa na Walambaji completely.
 
Kojani Gangs
 
Asali imejaa mdomoni, subiri wameze kwanza

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Kwani wewe haujaiona?
 
Zitto ni mdini hawezi hangaika na hii report ya muislamu mwenzake
 
Wanaosema hoja ya kujipa muda wakumbuke enzi za Magufuli, ilikuwa ripoti inaendelea kusomwa huku tweets zinaendelea kukosoa.
 
Wewe huioni ?! Mpaka uwategemee wanaume wenzio !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…