Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

Wewe hiyo report ushaipata kuisoma na kuitafakari? Kama ndio, nini kinakuzuia wewe kuchambua?
 
mama anaupiga mwingi ongea na ccm ndo wanaongoza inchi,hao walishaongea sana mkawaona wapuuzi tu walamba asali
 
Zito akicomment mniite!
 
Acha kubwabwaja hovyo kama hayawani zitto ndo huwa anachambua report ya CAG jumapili ya kwanza pending inapotoka. Report imetoka jana wewe una weweseka kama punguani
 
Sisi watanzania hatueleweki Mara tunataka Mara hatutaki

Unajua mtoa hoja , Hao akina Mbowe, Lissu, zito na wengine lazima waisome waielewe wachambue Sasa hata hoja zao zikitoka sisi Sisi tunaanza kuwapiga mawe wakikaa kimya wameramba asali wakisema ni vibaraka wa mabeberu Sasa tuseme wenyewe
 
Kwani ndiyo walioiba fedha za umma ?!. Mbona uvccm mmeishiwa hivi ?!. Fedha ziibiwe na walioko mamlakani, wewe ubaki kuwalaumu wapinzani ?!. Hizo ni akili za upinde
Elewa mada na kile nilichokijibu kwanza, usikurupuke mkuu.
 
Wanaosema hoja ya kujipa muda wakumbuke enzi za Magufuli, ilikuwa ripoti inaendelea kusomwa huku tweets zinaendelea kukosoa.
Hivi unawezaje kumuacuse mtu na hata kwenye Twitter yake hujapita???

Kweli watanzania ni bongo lala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…