Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

Msipo wasamehe watu makosayao hata baba yenu wambinguni hata wasamehe.

Put it in your mind.
Maisha ya mwanadamu ni fumbo. Huwezi kujua ni nani anasamehe, na nani anasamehe.
 
Huyo ni narcissist,yeye kila event atahakikisha anaigeuza inakuwa it's all about him.Sasa hivi utakuta hana habari na kinachoendelea kwenye tukio,yupo anaranda randa mitandaoni kuona watu wame react vipi kwa speech yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weka na ka clip
 
Alikuwa mgombea wa CCM kupitia ATC WAZALENDO.
Alikuwa planted tu kule msijitoe ufahamu.
 
Huyo Zitto kutoa maneno hayo vepee?? Si aungane nae wakafukiwe wote huko Rondo km ana mkubali sana huyo marehemu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kwa hiyo kuguswa na msiba ni kutaka kuthubutu kuzikwa na marehemu?!!!
 
[emoji2956][emoji2956]
 
Ayatolla Zitto ni idiot kabisa. Rais Dkt Samia kaongea vizuri mno. Ila kwa hii hotuba nahisi Ayatolla kaingia 18 za Mama, sijui, huwezi dharau mamlaka kiasi kile
 
Umoja wa wake wa viongozi....sina hakika kama ni waliofiwa au laaa ila ni Umoja wa wake wa viongozi.
Level gani ya chini kabisa ya Wake wa Viongozi wanaruhusiwa kuwepo kwenye huo Umoja!?
 
 
Pole Mama Samia kwa kuondokewa na mtu wa karibu.

Pole JK kwa kuondokewa na rafiki yako.

Pole kwa Watanzania wote

Apumzike salama jasusi mbobevu. Ni safari yetu binadamu wote. Zingine zote mbwembwe tu zetu wanadamu...
Kama ni mtu wao wa karibu wakazikwe nae waandae makaburi manne…! Hakuna ujasusi hapo….utapeli mtupu…jasusi si alipata chanjo? Kwa hiyo kakorona kamemuua jasusi?
 
Salamu za Zito kabwe zimelenga kumsimanga hayati Magufuli na kuonyesha kwamba,Membe alikuwa bora kuliko Magufuli ikiwemo kuendekeza mtifuano kwenye taifa hili ,inahitaji akili kubwa kulitambua hilo alilifanya Zito kabwe
Ayatolla Zitto ni idiot. Huwezi linganisha Dkt Magufuli na Membe. Dkt Magufuli kalifanyia makubwa hili taifa na aligusa maisha ya kila mtanzania. Ila wezi na mafisadi ndiyo walikona cha moto.
 
"Mungu tunaomba umlaze ndugu yetu pahala pale ambapo wewe utaridhia", hayo ni maneno ya Sheikh Walid. Hakunaga unafki wa "mlaze mahali pema peponi".
Safi sana…tunaomba awaombee na wale wanaotaka kuzikwa nae…..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…