Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

jpm alifanya mambo mengi sana yani mpka msibani kwa mpedwa wao anaongeleka kuliko hata marehemu mwenyewe.
 
Ameongea upuuzi mtupu! Ameingiza siasa kwenye shughuli ya msiba. Huyu bila kumzungumzia JPM nadhani siki yake haiendi vizuri, Kila speech analazimisha kumchomekea, Alaaniwe.
Unajua JPM alipanda chuki ekari nyingi sana. Sasa ni ngumu kuachwa salama. Kikubwa wengine wajifunze
 
Nafuatilia kuaga mwili wa Hayati Bernard Membe kwenye runinga. Nimeipenda hotuba ya Zitto Kabwe maana hajamng'unya maneno katema nyongo kwa kusema ukweli. Tuwe wakweli kwa kusema ukweli na siyo kurembaremba hata pale ambapo mambo hayakwenda vizuri.
Hivi nyongo huwa inatemwa mara ngapi?? Mbona huwa anaitema kila wakati? Ina maana hata kwenye msiba wa WAZURI HAWAFI unaokuja soon, atatema nyongo pia?? PATHETIC!!
 
Pumzika kwa amani Baba Benard Membe.
 
Wale lialia wa jpm wakazikwe nae tafadhali msituchoshe kutafuta huruma za watu kilasiku. Unapoyosha watu kijinga tu leta clip aliyosema jpm mpumbavu au unataka ukalale pembeni yake pale chato hujakatazwa
kazikwe nae rondo
 
Wema hawafi
 
Kama anampenda sana Membe akazikwe nae
 
Pole Mama Samia kwa kuondokewa na mtu wa karibu.

Pole JK kwa kuondokewa na rafiki yako.

Pole kwa Watanzania wote

Apumzike salama jasusi mbobevu. Ni safari yetu binadamu wote. Zingine zote mbwembwe tu zetu wanadamu...
Tunatakiwa tuishi kwa kuhurumiana sote !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…