Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

Kuna mtu alikua anachafua watu Kama zitto kipindi cha JK? Umesahau zile nakala zake?
Zitto huyu kipindi lowassa ameanza mchakato wa kugombea huko ccm si ndio alikua akitumika sana kwenye magazeti kuandika nakala za kumponda lowassa?
 
Kuchafuana ndani ya Nji hii hakutakwisha ! Kwa sababu ndio njia ya vilaza kujiliwaza !!
 
Zitto anajuwa ukweli maana pia inasemekana ni team X majasusi bana ujuwe hili tukio lakutisha sana amezima kama mshumaa ni ghafla...
Naomba nae huyu yuda ataftiwe utaratibu wa kumuondoa mafenesi usoni anajifanya ni smart sana mbwa hyu
 
Kwa mafanio huo huo. Kile kipindi zotto alipambana na akinachenge na akina rostam azizi kupitia list of shem ya kwaaanika vigogo walificha pesa uswizi kuna tofauti gani na MSIBA
 
Ile list of shame nayo ifutwe maana zitto mwembe yanga ndo alichafua akina rostam akina Patel kuwa wamefisha pesa uswizi
 
Kuna mtu alikua anachafua watu Kama zitto kipindi cha JK? Umesahau zile nakala zake?
Zitto huyu kipindi lowassa ameanza mchakato wa kugombea huko ccm si ndio alikua akitumika sana kwenye magazeti kuandika nakala za kumponda lowassa?
Wwnasiasa ni wwnafiki sana aisee nakumbuka kipindi kile cha list of shame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…