Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

Yeye Zitto alishiriki kumfilisi Membe kupitia ACT- wanavisasi.

Membe hadi akaenda kukopa nje baada ya kumaliza salio lililokuwa sehemu ya Pesa za Ghaddafi.

Halafu alipogundua Membe ameishiwa na hapo hapo akaacha kumsapoti na kumgeuka kupitia kauli ya Marehemu Mzee Seif Sharif Hamad.

Zitto asituzuge na machozi yake ya kichawi aliyonayo pembeni ya macho siku zoote.

Tunamjua na huenda ufundi ukahamia kwake maana amewadhulumu Marehemu wengi sana akiwemo Deo Filikunjombe R.I.P.
 
Kwani yule aliyesemekana ndie shoga alifanya nini? alimshtaki Musiba? Zitto kwa upande wake nae alishindwa kumshtaki Musiba kwa kumchafua?

Nachokumbuka palikuwepo na uzi huku aliuleta yule aliyetajwa kama mhusika anayegombaniwa, akatishia asipoombwa radhi ataenda mahakani kumshtaki Musiba, mbona alinyamaza kimya?

Kwa hali hiyo nikisema Zitto ana hasira na Musiba kwa sababu siri yao ilianikwa hadharani nitakuwa nakosea? kwa mwendo huu unataka Musiba amuombe radhi Zitto kwa sababu ipi? Zitto anamchukia Musiba kwa sababu zake binafsi, usimsemee.
 
¹Zitto anafiikiri yuko so smart kumbe kuna watu wengi wanamuelewa vizuri kuhusu undimilakuwili na unafiki wake.

Kila mtu ana maisha yake binafsi ambayo mengine hayajulikani sana kwa public. Hilo suala la kugo.mbea shoga usililie yamini kwa sababu hawakuthubutu kwenda mahakamani i wasafishwe.

Kwa aliyoyazingumza Zitto msibani, kwa mtu mwenye uelewa mzuri wa kupembua mambo hata kama mwanzoni alimpa benefit of doubt Zitto lazima atakubali kuwa Zitto ni ndumilakuwili na ni risk kwa yeyote aayejiita mpinzani kushirikiana na Ziitto.

Pia nikuambie haki ya mtu huwa haopotei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…