The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Very TruePole Rais Samia
Alaumiwe mzee makamba kwa kutomujumuisha Membe kwenye ile list ya watu wema wasiokufa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very TruePole Rais Samia
Alaumiwe mzee makamba kwa kutomujumuisha Membe kwenye ile list ya watu wema wasiokufa Tanzania
He is next....itakuwa hajajiweka pia kwenye list.Pole Rais Samia
Alaumiwe mzee makamba kwa kutomujumuisha Membe kwenye ile list ya watu wema wasiokufa Tanzania
Avae Hata sita, si tunajua pa kupigaKuna tetesi wasaidizi wake walimtaka asihudhurie kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi na yeye ameng'ang'ania.
Huenda leo akaja na barakoa.
Najua tuko kwenye huzuni, ila maneno yako, hata yangejaa pipa, hayawezi kubadili chochote kwa sasa. Too late!Mungu wa huruma amjalie pumziko jema Bernard Membe.
'Yeye aniaminiye ajapo kufa anaishi milele'.
Si alichanja ?Kuna tetesi wasaidizi wake walimtaka asihudhurie kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi na yeye ameng'ang'ania.
Huenda leo akaja na barakoa.
Mungu wa huruma amjalie pumziko jema Bernard Membe.
'Yeye aniaminiye ajapo kufa anaishi milele'.
Kwani ka uviko katakuwa kamehusika?Kuna tetesi wasaidizi wake walimtaka asihudhurie kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi na yeye ameng'ang'ania.
Huenda leo akaja na barakoa.
Amechanja barakoa za nini sasaKuna tetesi wasaidizi wake walimtaka asihudhurie kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi na yeye ameng'ang'ania.
Huenda leo akaja na barakoa.
Dakika ya 90 watamaliza wazee.Dakika ya 85