Hata huyo alie nyimwa kuendelea na shule kwa kubakwa atakuja kulipa hilo deni. Wewe unaona ni sahihi?Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!
ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Hivi nchi yetu tajiri ni ya kulalamika mkopo wa dollar mililoni mia tano tu?Nimeandika....ikinyimwa....
Kuna ugumu gani kwa serikali kulekebisha hayo aliyosema bwana zitto? Ni naona hili swali lako lilifaa kuihoji serikali ya magufuli inapata faida gani tukinyimwa mkopo kwa kushindwa tu kuwaruhusu mabinti waliozaa kuendelea na masomo?Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!
ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Wazungu Wana akili mno .Kuna mtu kanitonyaHii nchi ni yetu sote, bint kapata mimba form two na Nchi yetu inakopa bilion 500 ila tukumbuke huyu aliepata mimba na mwanae wote watakujakulipa huu mkopo kwanin tuwatenge kwenye elimu.
katafuteni nchi yenu akufanyia ujinga wenu nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba mtaongea sana lakini hamuwezi kushindana na sisi
katafuteni nchi yenu akufanyia ujinga wenu nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba mtaongea sana lakini hamuwezi kushindana na sisi
Ni MTU gani mwenye akili timamu anaweza shindana na kakundi ka nguruwe pori wa kijani pale mtaa wa lumumbakatafuteni nchi yenu akufanyia ujinga wenu nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba mtaongea sana lakini hamuwezi kushindana na sisi
Zitto Kabwe hana akili,Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania kwa WB.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni ubinafsi tu unawasumbua.Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!
ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Kauli Kama hizi ndio maana hata taifa stars ikifungwa tunafurahi awamu ya kijinga hii mnawagawa watz waliokuwa wamoja namimi pia naungana na zito kwasababu CCM wangeupata huo mkopo ungetumika katika kujipigia kampeni KISIASA na kudanganya watz went uelewa mdogo.katafuteni nchi yenu akufanyia ujinga wenu nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba mtaongea sana lakini hamuwezi kushindana na sisi
Acheni ufala kujipatia mandate msiyokuwa nayo na wala hamstahili. Subiri sanduku la kula liamue nani anaitakia mema Tanzania kati ya huyo kibaraka na CCM.Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania kwa WB.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwanyima fursa ya kusoma watoto wa masikini waliopata ujauzito kwa kubakwa au hali duni ya kimaisha,wew na ccm wenzako mnanufaikaje labda?Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!
ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania kwa WB.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaharakati mmechachamaa kweliKuwanyima fursa ya kusoma watoto wa masikini waliopata ujauzito kwa kubakwa au hali duni ya kimaisha,wew na ccm wenzako mnanufaikaje labda?