Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!

ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Hata huyo alie nyimwa kuendelea na shule kwa kubakwa atakuja kulipa hilo deni. Wewe unaona ni sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!

ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Kuna ugumu gani kwa serikali kulekebisha hayo aliyosema bwana zitto? Ni naona hili swali lako lilifaa kuihoji serikali ya magufuli inapata faida gani tukinyimwa mkopo kwa kushindwa tu kuwaruhusu mabinti waliozaa kuendelea na masomo?
 
Daah. Mimi nimependa hii kauli " Hakuna uzalendo bora kama kupigania uzalendo wa Taifa kuliko wa Serikali iliyopo madarakani" Hongrera Zitto kuwaumbuwa wapotoshaji.

Kwa kweli sikujuwa kitu kinaitwa FDCs.
 
Hii nchi ni yetu sote, bint kapata mimba form two na Nchi yetu inakopa bilion 500 ila tukumbuke huyu aliepata mimba na mwanae wote watakujakulipa huu mkopo kwanin tuwatenge kwenye elimu.
Wazungu Wana akili mno .Kuna mtu kanitonya

Ni kuwa world Bank kuna mabosi wa kiislamu wa uarabuni waliongea nao kuhusu ajenda za kuruhusu ndoa za utotoni sababu kwenye uislamu kuoa mtoto ruksa.Sisi Kuna Sheria ya Haki za mtoto kusoma nk na umri wa kuolewa ni miaka 18 na kuendelea .Wakaona kutubadilisha Ni wagumu

Ndio wanapitia world Bank ili itumike Tanzania kuhalalisha ndoa za utotoni

Zitto Kabwe kabeba agenda ya kidinii zaidi akitetea ndoa na mimba za utotoni za kiislamu .Wapata mimba wengi utotoni ni wasichana wa kiislamu ili likipita vitoto vya kike vikina Asha Ngedere,Mwajuma Nichokonoe,Maimuna Kigodoro nk wasiogope kubeba mimba wakiwa wadogo

Lengo kuu kuhalalisha mimba za utotoni
 
..kama mtambuka Jumuiya ya Wazazi CCM wakati wa mfumo wa chama kimoja ilijenga shule sekondari.

..katika miaka ya karibuni CCM imeshindwa kuziendesha shule hizo na imeonekana kwamba ni busara shule hizo zichukuliwe na serikali.

..sasa maamuzi yamefanyika kuwa serikali itumie sehemu ya fedha za mkopo wa WB kuilipa CCM kabla haijazichukua shule hizo.

..Jambo hilo siyo sahihi na ni UFISADI kwasababu shule za Jumuiya ya Wazazi CCM zilijengwa wakati wa mfumo wa chama kimoja. Shule hizo zilitakiwa zikabidhiwe kwa serikali bila malipo yoyote baada ya sheria ya vyama vingi kupitishwa hapa nchini.
 
katafuteni nchi yenu akufanyia ujinga wenu nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba mtaongea sana lakini hamuwezi kushindana na sisi
Ni MTU gani mwenye akili timamu anaweza shindana na kakundi ka nguruwe pori wa kijani pale mtaa wa lumumba
 
Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania kwa WB.

Sent using Jamii Forums mobile app

Zitto Kabwe hana akili,
 
Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!

ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Mkuu ni ubinafsi tu unawasumbua.
Hizo shule anazoita za CCM wanasoma watoto wa wanachama wa chama chochote.

Hapo Zitto ametanguliza maslahi yake binafsi, amewaza uchaguzi zaidi kuliko watanzania maskini.
Siasa za namna hii ni hatari sana kwa taifa, watanzania sio wajinga kiasi hicho.

Nimemkubali sana Mh. Mbowe alipojaribu kutafuta maridhiano, muafaka na serikali siku ya Uhuru, aliweka pembeni maslahi binafsi.
Zitto atakuja kulipia tu huu usaliti na ubinafsi wake hata kama Magufuli atakapokuwa hayupo madarakani.
Hizi video na nyaraka za harakati zake zitakuwepo daima hapa duniani na zitakuja kumhukumu yeye mwenyewe.
Ogopa hii teknolojia, ni kama alivyo mpondea Lissu kuomba Tanzania isitishiwe misaada na Jumuiya za kimataifa na yeye anafanya kile alichomkosoa Lissu na kukiita 'UMAZWAZWA'.
Leo zile comments zimerejea kwa kasi mitandaoni kwa kumdhihaki.
 
katafuteni nchi yenu akufanyia ujinga wenu nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba mtaongea sana lakini hamuwezi kushindana na sisi
Kauli Kama hizi ndio maana hata taifa stars ikifungwa tunafurahi awamu ya kijinga hii mnawagawa watz waliokuwa wamoja namimi pia naungana na zito kwasababu CCM wangeupata huo mkopo ungetumika katika kujipigia kampeni KISIASA na kudanganya watz went uelewa mdogo.
 
Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania kwa WB.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acheni ufala kujipatia mandate msiyokuwa nayo na wala hamstahili. Subiri sanduku la kula liamue nani anaitakia mema Tanzania kati ya huyo kibaraka na CCM.
 
Bora tupoteze majinbo yote ya Dar,lakini si kwa kuruhusu huyu afriti arudi bungeni
 
Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!

ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Kuwanyima fursa ya kusoma watoto wa masikini waliopata ujauzito kwa kubakwa au hali duni ya kimaisha,wew na ccm wenzako mnanufaikaje labda?
 
Nilikutukana sana juzi nisamehe bure nilikua sina hiyo taarifa
 
Kama pesa hiyo itaenda kutumika kugufua FDC siungi mkono kabisa na pia siungi mkono kusomesha wasichana walipata mimba mashuleni.
Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania kwa WB.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kuwanyima fursa ya kusoma watoto wa masikini waliopata ujauzito kwa kubakwa au hali duni ya kimaisha,wew na ccm wenzako mnanufaikaje labda?
Wanaharakati mmechachamaa kweli
 
Back
Top Bottom