Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

Muhtasari,

Zitto Kabwe kaomba mkopo wa trilioni usitishwe kwa sababu hizi,

  • Mwanahabari Erick Kabendera bado anasota rumande
  • vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya mikutano isipokuwa chama tawala pekee,
  • mchakato wa uchaguzi wa Zanzibar ukiwa umevurugwa
  • kuwazuia zaidi ya wagombea 400,000 wa vyama vya upinzani wasigombeaa nafasi za uongozi
  • C.A.G kufukuzwa kutoka ofisini kinyume cha Katiba mwezi Novemba
  • uchaguzi mkuu 2020 kuwa na dalili utavurugwa na kuharibiwa
  • fedha za mkopo uliokataliwa zingetumika kinyume na lengo (ufisadi)
  • watanzania kulazimika baadaye kulipia mkopo huu
Binafsi Nadhani angewasilisha bungeni hoja hizi ili zijadiliwe kama zina uzito au la, ukweli au la, n.k Hakuwa na sababu ya kuhofia wala kutilia mashaka kuwasilisha hizo hoja zake katika serikali yetu tukufu yenye haki,
Bungeni nenda wewe Sisi tunaenda WB kupanga mipango ya kuchukua nchi yetu na tena waambie mwaka huu ndiyo mwisho wa magu ikulu
 
Muhtasari,

Zitto Kabwe kaomba mkopo wa trilioni usitishwe kwa sababu hizi,

  • Mwanahabari Erick Kabendera bado anasota rumande
  • vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya mikutano isipokuwa chama tawala pekee,
  • mchakato wa uchaguzi wa Zanzibar ukiwa umevurugwa
  • kuwazuia zaidi ya wagombea 400,000 wa vyama vya upinzani wasigombeaa nafasi za uongozi
  • C.A.G kufukuzwa kutoka ofisini kinyume cha Katiba mwezi Novemba
  • uchaguzi mkuu 2020 kuwa na dalili utavurugwa na kuharibiwa
  • fedha za mkopo uliokataliwa zingetumika kinyume na lengo (ufisadi)
  • watanzania kulazimika baadaye kulipia mkopo huu
Binafsi Nadhani angewasilisha bungeni hoja hizi ili zijadiliwe kama zina uzito au la, ukweli au la, n.k Hakuwa na sababu ya kuhofia wala kutilia mashaka kuwasilisha hizo hoja zake katika serikali yetu tukufu yenye haki,
Haahaa bunge lipi hili linalounga mkono kila kitu kinachofanywa Na serikali.
 
Kwa nini wabunge na Watanzania wengine wanashindwa kumuambia huyu mzee kuwa ndiye kazuia fedha za WB kwa kiburi chake?
"Ndani ya utawala wangu hakuna mwenye mimba atakaye soma" na World Bank wanasema kama ni hivyo "ndani ya utawala wako $500M utazisikia kwenye bomba"
Sasa Zitto kakosea wapi kukumbusha tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu Zitto si ndo aliyeenda kwa mabeberu kushinikiza kuzuia mradi wa Bonde la Nyerere (Stiglars Gorge) usianze? Je alifanikiwa? Mradi si unaendelea? Kelele za chura hazizuii chura kunywa maji! Hao wanafunzi wapenda ngono na kuzaliana shuleni akaanzishe shule yake akawasomeshe! Hatujakataza NGO na shule binafsi kusomesha wazazi! Tumekataa shule za umma zinazoendeshwa kwa kodi za wananchi kushabikia ngono mashuleni kuzaliana na kuruhusiwa kuendelea! Zitto na mabeberu wanaokussuport anzisheni hizo shule si tu za kusomesha wazazi lakini pia za kusomesha mashoga! Prof. Assad tayari kaishatumbuliwa na tumeishamsahau!

Barua ya Zito imebeba mambo mengi kuanzia chaguzi za kihayawani, uhuru wa vyombo vya habari, ulinzi mdogo wa fedha za umma, uhuru wa kufanya siasa, kuchezewa uchaguzi wa Zanzibar, rais kutaka kuburuza wananchi kuongozwa na ccm. Hayo yote yuko sawa na tunamuunga mkono. Tunataka akienda US kuongea na hao jamaa aweke ushahidi wa uhayawani wote wazi. Tunataka wazungu wasiishie kunyima mikopo tu, bali waangalie namna ya kuweka vikwazo mpaka huu uhayawani uishe.
 
Nipo tayari kulipa gharama yeyote kwa kuandika Barua hii.
Heshima kwa msimamo huo. Tunawahitaji wengi wa namna yako, na inatubidi kusimama nanyi katika msitari huo kama tunayakubali mnayosimamia.

Ni Rais Magufuli tu ndio hataki watoto wa kike warudi shuleni. Hii Nchi sio ya Magufuli peke yake. Hatuwezi kukaa kimya kumwona mtu mmoja analazimisha imani zake kwa Jamii nzima ya Watanzania.
Kumezuka mtindo wa watu kuamini kwamba mtu mmoja, kwa sababu tu ya madaraka aliyopewa na wananchi, basi wananchi wanamkabidhi kila kitu; hata madaraka ya kuwapuuza na wakti mwingine kuwanyang'anya haki zao za msingi kabisa, kama za kuwachagua viongozi wao wanaotaka wawaongoze.
 
Wale wote wanaomponda Zitto na kumuita Msaliti, wamejitia upofu na hawataki kusoma wala kusikia chochote kuhusu hii paragraph
Wizi ni sera ya siri ya ccm na magufuli ni babalao katika kutekeleza kwa ufanisi wizi huo ndo maana akamuondoa CAG prof Assad maana alikuwa kikazi kwake kwenye kutekeleza wizi wa mali ya umma
 
Muhtasari,

Zitto Kabwe kaomba mkopo wa trilioni usitishwe kwa sababu hizi,

  • Mwanahabari Erick Kabendera bado anasota rumande
  • vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya mikutano isipokuwa chama tawala pekee,
  • mchakato wa uchaguzi wa Zanzibar ukiwa umevurugwa
  • kuwazuia zaidi ya wagombea 400,000 wa vyama vya upinzani wasigombeaa nafasi za uongozi
  • C.A.G kufukuzwa kutoka ofisini kinyume cha Katiba mwezi Novemba
  • uchaguzi mkuu 2020 kuwa na dalili utavurugwa na kuharibiwa
  • fedha za mkopo uliokataliwa zingetumika kinyume na lengo (ufisadi)
  • watanzania kulazimika baadaye kulipia mkopo huu
Binafsi Nadhani angewasilisha bungeni hoja hizi ili zijadiliwe kama zina uzito au la, ukweli au la, n.k Hakuwa na sababu ya kuhofia wala kutilia mashaka kuwasilisha hizo hoja zake katika serikali yetu tukufu yenye haki,
Bunge lipi kiongozi, hili hili la ndioooo linalopokea directions toka mhimili mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumezuka mtindo wa watu kuamini kwamba mtu mmoja, kwa sababu tu ya madaraka aliyopewa na wananchi, basi wananchi wanamkabidhi kila kitu; hata madaraka ya kuwapuuza na wakti mwingine kuwanyang'anya haki zao za msingi kabisa, kama za kuwachagua viongozi wao wanaotaka wawaongoze.
Tafakuri Jadidi!!
 
Muhtasari,

Zitto Kabwe kaomba mkopo wa trilioni usitishwe kwa sababu hizi,

  • Mwanahabari Erick Kabendera bado anasota rumande
  • vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya mikutano isipokuwa chama tawala pekee,
  • mchakato wa uchaguzi wa Zanzibar ukiwa umevurugwa
  • kuwazuia zaidi ya wagombea 400,000 wa vyama vya upinzani wasigombeaa nafasi za uongozi
  • C.A.G kufukuzwa kutoka ofisini kinyume cha Katiba mwezi Novemba
  • uchaguzi mkuu 2020 kuwa na dalili utavurugwa na kuharibiwa
  • fedha za mkopo uliokataliwa zingetumika kinyume na lengo (ufisadi)
  • watanzania kulazimika baadaye kulipia mkopo huu
Binafsi Nadhani angewasilisha bungeni hoja hizi ili zijadiliwe kama zina uzito au la, ukweli au la, n.k Hakuwa na sababu ya kuhofia wala kutilia mashaka kuwasilisha hizo hoja zake katika serikali yetu tukufu yenye haki,

Hivi unazungumzia bunge gani? World Bank siku hizi wana bunge lao??

NB: Sisi ni wazalendo kwa nchi yetu... Na siyo kwa serikali, raisi wala chama chake!
 
Kwa Bunge lipi, au ni hili ambalo ni 'rubber stamp' ya Meko?
Muhtasari,

Zitto Kabwe kaomba mkopo wa trilioni usitishwe kwa sababu hizi,

  • Mwanahabari Erick Kabendera bado anasota rumande
  • vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya mikutano isipokuwa chama tawala pekee,
  • mchakato wa uchaguzi wa Zanzibar ukiwa umevurugwa
  • kuwazuia zaidi ya wagombea 400,000 wa vyama vya upinzani wasigombeaa nafasi za uongozi
  • C.A.G kufukuzwa kutoka ofisini kinyume cha Katiba mwezi Novemba
  • uchaguzi mkuu 2020 kuwa na dalili utavurugwa na kuharibiwa
  • fedha za mkopo uliokataliwa zingetumika kinyume na lengo (ufisadi)
  • watanzania kulazimika baadaye kulipia mkopo huu
Binafsi Nadhani angewasilisha bungeni hoja hizi ili zijadiliwe kama zina uzito au la, ukweli au la, n.k Hakuwa na sababu ya kuhofia wala kutilia mashaka kuwasilisha hizo hoja zake katika serikali yetu tukufu yenye haki,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi Nadhani angewasilisha bungeni hoja hizi ili zijadiliwe kama zina uzito au la, ukweli au la, n.k Hakuwa na sababu ya kuhofia wala kutilia mashaka kuwasilisha hizo hoja zake katika serikali yetu tukufu yenye haki,
Awasilishe Bunge la wapi mkuu 'machozi ya simba'! Kuna Bunge maalum unalolijua ambalo Zitto hajui linavyofanya kazi zake?
 
1
Muhtasari,

Zitto Kabwe kaomba mkopo wa trilioni usitishwe kwa sababu hizi,

  • Mwanahabari Erick Kabendera bado anasota rumande
  • vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya mikutano isipokuwa chama tawala pekee,
  • mchakato wa uchaguzi wa Zanzibar ukiwa umevurugwa
  • kuwazuia zaidi ya wagombea 400,000 wa vyama vya upinzani wasigombeaa nafasi za uongozi
  • C.A.G kufukuzwa kutoka ofisini kinyume cha Katiba mwezi Novemba
  • uchaguzi mkuu 2020 kuwa na dalili utavurugwa na kuharibiwa
  • fedha za mkopo uliokataliwa zingetumika kinyume na lengo (ufisadi)
  • watanzania kulazimika baadaye kulipia mkopo huu
Binafsi Nadhani angewasilisha bungeni hoja hizi ili zijadiliwe kama zina uzito au la, ukweli au la, n.k Hakuwa na sababu ya kuhofia wala kutilia mashaka kuwasilisha hizo hoja zake katika serikali yetu tukufu yenye haki,
Majibu ambayo angepewa bungeni
1.Ni swala la kimahakama, bunge haliwezi kulijadili kwani kesi ipo mahakamani na mahakama ni muhimili unaojitegemea.
2.Vyama vya upinzani havifati utaratibu wa kisheria katika kuendesha mikutano yao ndio maana hata mikutano yao haifanyiki.
3.Uchaguzi ulikuwa wa huru na haki.CUF Walisusia uchaguzi na CCM ikapita kwa kishindo.
4.Serikali hii ikiongozwa na Mh Rais ni serikali ya wanyonge na hivyo haiwezi tumia pesa za wanyonge vibaya.
5.Nchi yetu inahitaji kusonga mbele, hata matajiri wakubwa wanakopa ili kukuza biashara.Hizi pesa za mikopo ni kwa ajili ya watanzania.

Hayo ndio majibu ambayo angepata bungeni😊.
 
Tuache siasa watoto wanaopata mimba hawajawai kuruhusiwa kuendelea na masomo kwenye shule za umma toka Mkapa, Kikwete Sema kilichomponza Magufuli ni kuropoka na dunia ikajua.
Kwa hiyo kipindi wanaahidi kwenye Ilani ya CCM walikuwa wanatuchezea sio ee? Wanatuona wajinga wajinga eehee?
 
Attachments

  • 1535908_Capture1.png
    1535908_Capture1.png
    22.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom