Muhtasari,
Zitto Kabwe kaomba mkopo wa trilioni usitishwe kwa sababu hizi,
- Mwanahabari Erick Kabendera bado anasota rumande
- vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya mikutano isipokuwa chama tawala pekee,
- mchakato wa uchaguzi wa Zanzibar ukiwa umevurugwa
- kuwazuia zaidi ya wagombea 400,000 wa vyama vya upinzani wasigombeaa nafasi za uongozi
- C.A.G kufukuzwa kutoka ofisini kinyume cha Katiba mwezi Novemba
- uchaguzi mkuu 2020 kuwa na dalili utavurugwa na kuharibiwa
- fedha za mkopo uliokataliwa zingetumika kinyume na lengo (ufisadi)
- watanzania kulazimika baadaye kulipia mkopo huu
Binafsi Nadhani angewasilisha bungeni hoja hizi ili zijadiliwe kama zina uzito au la, ukweli au la, n.k Hakuwa na sababu ya kuhofia wala kutilia mashaka kuwasilisha hizo hoja zake katika serikali yetu tukufu yenye haki,