Zitto Kabwe: Mwambieni Waziri Mkuu "Watu wake hawawezi kumpenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa"

Bashiru anavuna alichopanda. Alipanda au kuruhusu chuki iote miziz ndani ya ccm sasa leo yuko nje analalamikia watawala.

Kimeumana
Chuki iliota kwa waliohozi mali za chama kwa maslahi yao binafsi na familia zao, waliozoea kutoa rushwa ili wapate vyeo. Sasa hili ni kundi la wachache kuliko wengi walioimaliza ccm 2015. Ukiijua historia ya uchaguzi ya 2015 utaelewa.
 
Vyama tofauti kwa maana ipi? ACT na CCM au?
 
Katumwa akamchafue majaliwa ruangwa. Baada ya kuwaambia watu kuhusu tatizo la umeme, tozo na ubadhirifu uliokithiri ye anamchafua Majaliwa.

Majaliwa keshaifungua ruangwa. Kuna mahakama nzuri ya wilaya, hospitali mbili kubwa za wilaya, chuo cha veta, ofisi ya takukuru, magereza ya wilaya, duka la msd, ambulensi kila kituo cha afya, vituo vya afya vya kisasa vyenye vyumba vya operasheni kwa ajili ya wazazi, shule nzuri zenye tiles na madirisha ya aluminium, uwanja wa mpira, barabara za lami, taa za barabarani, benki za nmb na crdb.

NMB wana jengo la ghorofa ruangwa na wenyeji wanakuambia hawakutegemea kama ipo siku ruangwa kutakuwa na ghorofa. Na kuna hotel ya ghorofa tatu imejengwa.

Zitto kama ameenda kujenga chama chake ruangwa aachane na majaliwa ila kama kaagizwa na team msoga kwenda kutest mitambo dhidi ya majaliwa basi aendelee kufanya kazi aliyotumwa.
Mimi ni mkazi wa huku kusini kiujumla huwa kiukweli majaliwa kaipaisha mno ruangwa
 
“Najua kuna Maafisa wa Usalama wa Taifa hapa kwenye Mkutano wetu Ruangwa, nawatuma wakamwambie Waziri Mkuu kuwa Zitto anasema maliza hofu Ruangwa.

“Watu wako hawawezi kukupenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa kwa sababu tu wako vyama tofauti na wewe,” - Zitto Kabwe akiwa Jimbo la Ruangwa Mkoani Lindi.

Ameongeza kusema: "Nitamweleza Waziri MKuu Kassim Majaliwa kuwa kiongozi ukitaka kupendwa na kukubalika na watu wako, wasaidie kuwainua hali zao na sio kuwaburuza kwa mabavu na vitisho. Kufanya hivyo, kutakuchora kuwa kiongozi katili, watakuogopa na kukuchukia."

Jamaa wa ovyo kabisa nahisi ata sio raia wa Tanzania
 
Chuki iliota kwa waliohozi mali za chama kwa maslahi yao binafsi na familia zao, waliozoea kutoa rushwa ili wapate vyeo. Sasa hili ni kundi la wachache kuliko wengi walioimaliza ccm 2015. Ukiijua historia ya uchaguzi ya 2015 utaelewa.
Mugambo wanaruka na kukanyagana....ccm ya sasa ni bora kuliko ile ya akina Bashiru na Polepole.
 
Katumwa akamchafue majaliwa ruangwa. Baada ya kuwaambia watu kuhusu tatizo la umeme, tozo na ubadhirifu uliokithiri ye anamchafua Majaliwa.

Majaliwa keshaifungua ruangwa. Kuna mahakama nzuri ya wilaya, hospitali mbili kubwa za wilaya, chuo cha veta, ofisi ya takukuru, magereza ya wilaya, duka la msd, ambulensi kila kituo cha afya, vituo vya afya vya kisasa vyenye vyumba vya operasheni kwa ajili ya wazazi, shule nzuri zenye tiles na madirisha ya aluminium, uwanja wa mpira, barabara za lami, taa za barabarani, benki za nmb na crdb.

NMB wana jengo la ghorofa ruangwa na wenyeji wanakuambia hawakutegemea kama ipo siku ruangwa kutakuwa na ghorofa. Na kuna hotel ya ghorofa tatu imejengwa.

Zitto kama ameenda kujenga chama chake ruangwa aachane na majaliwa ila kama kaagizwa na team msoga kwenda kutest mitambo dhidi ya majaliwa basi aendelee kufanya kazi aliyotumwa.
Usisahau na ule ujenzi wa Barbara unaoendelea kwa kiwango cha lami
 
kumchukia huyu baba ni kujitoa ufahamu! sijawah ona baya kwake kabisaaaaa, hizi chuki dhidi yake ni kujichumia dhambi… kuna video nimeona jana wananchi wanazingumza na kushukuru ujenzi wa vituo vya afya na mashule, sasa hizo nyingine za kutopendwa sijaziona. Statement hii ya Zitto naona ni kama siasa tuu.
 
Katumwa akamchafue majaliwa ruangwa. Baada ya kuwaambia watu kuhusu tatizo la umeme, tozo na ubadhirifu uliokithiri ye anamchafua Majaliwa.

Majaliwa keshaifungua ruangwa. Kuna mahakama nzuri ya wilaya, hospitali mbili kubwa za wilaya, chuo cha veta, ofisi ya takukuru, magereza ya wilaya, duka la msd, ambulensi kila kituo cha afya, vituo vya afya vya kisasa vyenye vyumba vya operasheni kwa ajili ya wazazi, shule nzuri zenye tiles na madirisha ya aluminium,.
Hapo kwenye bold! Niseme wazi, wewe ni mshamba, sidhani kama darasa kuwa na tiles na aluminum ni big deal. Tunataka quality education!
 
Katumwa akamchafue majaliwa ruangwa. Baada ya kuwaambia watu kuhusu tatizo la umeme, tozo na ubadhirifu uliokithiri ye anamchafua Majaliwa.

Majaliwa keshaifungua ruangwa. Kuna mahakama nzuri ya wilaya, hospitali mbili kubwa za wilaya, chuo cha veta, ofisi ya takukuru, magereza ya wilaya, duka la msd, ambulensi kila kituo cha afya, vituo vya afya vya kisasa vyenye vyumba vya operasheni kwa ajili ya wazazi, shule nzuri zenye tiles na madirisha ya aluminium, uwanja wa mpira, barabara za lami, taa za barabarani, benki za nmb na crdb.

NMB wana jengo la ghorofa ruangwa na wenyeji wanakuambia hawakutegemea kama ipo siku ruangwa kutakuwa na ghorofa. Na kuna hotel ya ghorofa tatu imejengwa.

Zitto kama ameenda kujenga chama chake ruangwa aachane na majaliwa ila kama kaagizwa na team msoga kwenda kutest mitambo dhidi ya majaliwa basi aendelee kufanya kazi aliyotumwa.
Na umepatia haswaa Ametumwa na ile gang akapime upepo unaelekea wapi !! Ile gang kwa fitna haijambo. !!
 
“Najua kuna Maafisa wa Usalama wa Taifa hapa kwenye Mkutano wetu Ruangwa, nawatuma wakamwambie Waziri Mkuu kuwa Zitto anasema maliza hofu Ruangwa.

“Watu wako hawawezi kukupenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa kwa sababu tu wako vyama tofauti na wewe,” - Zitto Kabwe akiwa Jimbo la Ruangwa Mkoani Lindi.

Ameongeza kusema: "Nitamweleza Waziri MKuu Kassim Majaliwa kuwa kiongozi ukitaka kupendwa na kukubalika na watu wako, wasaidie kuwainua hali zao na sio kuwaburuza kwa mabavu na vitisho. Kufanya hivyo, kutakuchora kuwa kiongozi katili, watakuogopa na kukuchukia."
Huo ndo ulikuwa mkakati wa Majaliwa wa kupita bila kupingwa..
Kuhakikisha wagombea wengine hawapo hadi muda wa kurejesha fomu za kugombea upite!
 
Hapo kwenye bold! Niseme wazi, wewe ni mshamba, sidhani kama darasa kuwa na tiles na aluminum ni big deal. Tunataka quality education!
Kwetu tanzania ni big deal maana tulizoea kuona hii ni kwa shule za private. Lakini quality education na quality understanding inaanza na quality environment na kila siku tunasisitiza hilo.
 
Back
Top Bottom