sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Hizo ni tetesi za kwenye siasa. Kama ni kuathirika hata Majaliwa alichomewa mali zake nyingi tu ikiwemo ukumbi.Wewe unaishi wapi?
Nani aliyemteka mgombea wa CHADEMA, kisha kumbambikia kesi, na kisha mkurugenzi wa Halmashauri kumtangaza Majaliwa amepita bila kupingwa?
Mwulize Majaliwa, yule mfanyabiashara aliyemhengea nyumba ya ghorofa kule Dodoma, ni fadhila ya nini?
Mwulize Majaliwa, kwa nini wakati Marehemu Magufuli akiwa katika kipindi cha mwisho cha kupigania uhai wake, yeye akawadanganya Watanzania kuwa Magufuli yupo ofisini anachapa kazi? Mtu mwongo anastahili kuaminiwa kwa lolote?
Then kuhusu Magufuli, ni ujinga kuhoji eti alisema Magufuli yupo kazini. Inaonekana ni mtoto ambaye hujui serikali inafanyeje kazi.
Kama kifo si mlitangaziwa kwa utaratibu wa kiitifaki au ulitaka kila kiongozi aseme wewe ulichokizania.?