Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Zitto ni kijana ? Uwiii[emoji43][emoji43][emoji43][emoji43].... "Waziri mkuu anahusika".... kijana kaamua, kama ni kufa wacha nife, potelea mbali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto ni kijana ? Uwiii[emoji43][emoji43][emoji43][emoji43].... "Waziri mkuu anahusika".... kijana kaamua, kama ni kufa wacha nife, potelea mbali!
Uongozi wa Hayati utaendelea kuwa mfano mbaya Kwa vizazi vyote hapa Tanzania na dunia
“Najua kuna Maafisa wa Usalama wa Taifa hapa kwenye Mkutano wetu Ruangwa, nawatuma wakamwambie Waziri Mkuu kuwa Zitto anasema maliza hofu Ruangwa.
“Watu wako hawawezi kukupenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa kwa sababu tu wako vyama tofauti na wewe,” - Zitto Kabwe akiwa Jimbo la Ruangwa Mkoani Lindi.
Ameongeza kusema: "Nitamweleza Waziri MKuu Kassim Majaliwa kuwa kiongozi ukitaka kupendwa na kukubalika na watu wako, wasaidie kuwainua hali zao na sio kuwaburuza kwa mabavu na vitisho. Kufanya hivyo, kutakuchora kuwa kiongozi katili, watakuogopa na kukuchukia."
Majaliwa anachafuliwa na matendo yake mwenyewe hakuna anayemchafua.Katumwa akamchafue majaliwa ruangwa. Baada ya kuwaambia watu kuhusu tatizo la umeme, tozo na ubadhirifu uliokithiri ye anamchafua Majaliwa.
Majaliwa keshaifungua ruangwa. Kuna mahakama nzuri ya wilaya, hospitali mbili kubwa za wilaya, chuo cha veta, ofisi ya takukuru, magereza ya wilaya, duka la msd, ambulensi kila kituo cha afya, vituo vya afya vya kisasa vyenye vyumba vya operasheni kwa ajili ya wazazi, shule nzuri zenye tiles na madirisha ya aluminium, uwanja wa mpira, barabara za lami, taa za barabarani, benki za nmb na crdb.
NMB wana jengo la ghorofa ruangwa na wenyeji wanakuambia hawakutegemea kama ipo siku ruangwa kutakuwa na ghorofa. Na kuna hotel ya ghorofa tatu imejengwa.
Zitto kama ameenda kujenga chama chake ruangwa aachane na majaliwa ila kama kaagizwa na team msoga kwenda kutest mitambo dhidi ya majaliwa basi aendelee kufanya kazi aliyotumwa.
MasaliaHaya mambo ya watu wasiojulikana si yaliisha kitambo? Kumbe huko kwingine bado yapo?
Mfano mbaya kwenu mafisadi, mateja na mashoga labda.Uongozi wa Hayati utaendelea kuwa mfano mbaya Kwa vizazi vyote hapa Tanzania na dunia
Ndege wafanano MkuuKasimu Majaliwa ana vinasaba vy udikteta. Naandika uzi kuelezea juu ya suala hili
Kwani wewe huoni?Mfano mbaya kwenu mafisadi, mateja na mahogany labda.
Kama yapi?Majaliwa anachafuliwa na matendo yake mwenyewe hakuna anayemchafua.
Kamuulize Nape NauyeKama yapi?
Kama hujui si ungekaa kimya tu kuliko kuwa mropokaji kama huyo swahiba wako nepi ah nape.Kamuulize Nape Nauye
Mropokaji ni Bashiru anayelalamikia serikali aliyotumikia juzi juzi tu hata miaka mitatu bado ameshafilisika.Kama hujui si ungekaa kimya tu kuliko kuwa mropokaji kama huyo swahiba wako nepi ah nape.
Kwani kuongea ni kulalamika?Mropokaji ni Bashiru anayelalamikia serikali aliyotumikia juzi juzi tu hata miaka mitatu bado ameshafilisika.
Kalalamika sana😅😅Kwani kuongea ni kulalamika?
Angekuwa amelalamika usingeonana wanaumana huko. Si umeonana uvccm na kina nape wameanza kujitoa akili.Kalalamika sana[emoji28][emoji28]
Hata james delicios ana.muonekano wa ukidumeMbona jamaa anaonekana mtu makini!mpole na mnyenyekevu!?
Haya zito anayatoa wapi!?