Chuki iliota kwa waliohozi mali za chama kwa maslahi yao binafsi na familia zao, waliozoea kutoa rushwa ili wapate vyeo. Sasa hili ni kundi la wachache kuliko wengi walioimaliza ccm 2015. Ukiijua historia ya uchaguzi ya 2015 utaelewa.Bashiru anavuna alichopanda. Alipanda au kuruhusu chuki iote miziz ndani ya ccm sasa leo yuko nje analalamikia watawala.
Kimeumana
watu kama nyie ufala utakutoka siku ukiingia anga zao, waulize wapuuzi na chawa wenzako kama kina Ndugai na BashiruAkikosa cha kusema huwa anaanza kamba zake.
Zito ni mnafiki na muongo kweli ni mambo ya kutekana na kutesana si tuliambiwa aliyekiyafanya ni mwendazake ?Akikosa cha kusema huwa anaanza kamba zake.
Mimi ni mkazi wa huku kusini kiujumla huwa kiukweli majaliwa kaipaisha mno ruangwaKatumwa akamchafue majaliwa ruangwa. Baada ya kuwaambia watu kuhusu tatizo la umeme, tozo na ubadhirifu uliokithiri ye anamchafua Majaliwa.
Majaliwa keshaifungua ruangwa. Kuna mahakama nzuri ya wilaya, hospitali mbili kubwa za wilaya, chuo cha veta, ofisi ya takukuru, magereza ya wilaya, duka la msd, ambulensi kila kituo cha afya, vituo vya afya vya kisasa vyenye vyumba vya operasheni kwa ajili ya wazazi, shule nzuri zenye tiles na madirisha ya aluminium, uwanja wa mpira, barabara za lami, taa za barabarani, benki za nmb na crdb.
NMB wana jengo la ghorofa ruangwa na wenyeji wanakuambia hawakutegemea kama ipo siku ruangwa kutakuwa na ghorofa. Na kuna hotel ya ghorofa tatu imejengwa.
Zitto kama ameenda kujenga chama chake ruangwa aachane na majaliwa ila kama kaagizwa na team msoga kwenda kutest mitambo dhidi ya majaliwa basi aendelee kufanya kazi aliyotumwa.
“Najua kuna Maafisa wa Usalama wa Taifa hapa kwenye Mkutano wetu Ruangwa, nawatuma wakamwambie Waziri Mkuu kuwa Zitto anasema maliza hofu Ruangwa.
“Watu wako hawawezi kukupenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa kwa sababu tu wako vyama tofauti na wewe,” - Zitto Kabwe akiwa Jimbo la Ruangwa Mkoani Lindi.
Ameongeza kusema: "Nitamweleza Waziri MKuu Kassim Majaliwa kuwa kiongozi ukitaka kupendwa na kukubalika na watu wako, wasaidie kuwainua hali zao na sio kuwaburuza kwa mabavu na vitisho. Kufanya hivyo, kutakuchora kuwa kiongozi katili, watakuogopa na kukuchukia."
Pm hakushinda kupe ila alichofanya aliwateka wapinzai na kuwapiga sanahalafu akapita bila kupingwa kwa usaidizi wa shetani jpmMbona jamaa anaonekana mtu makini!mpole na mnyenyekevu!?
Haya zito anayatoa wapi!?
Mugambo wanaruka na kukanyagana....ccm ya sasa ni bora kuliko ile ya akina Bashiru na Polepole.Chuki iliota kwa waliohozi mali za chama kwa maslahi yao binafsi na familia zao, waliozoea kutoa rushwa ili wapate vyeo. Sasa hili ni kundi la wachache kuliko wengi walioimaliza ccm 2015. Ukiijua historia ya uchaguzi ya 2015 utaelewa.
Ccm fc lumumba. Majaliwa hakuna alichofanya LuangwaMimi ni mkazi wa huku kusini kiujumla huwa kiukweli majaliwa kaipaisha mno ruangwa
Umewahi kufika ruangwa,?Ccm fc lumumba. Majaliwa hakuna alichofanya Luangwa
Kama nyumbani vile. Anahendekez siasa za chuki tu kama JpmUmewahi kufika ruangwa,?
Chuki dhidi ya nani?Kama nyumbani vile. Anahendekez siasa za chuki tu kama Jpm
Usisahau na ule ujenzi wa Barbara unaoendelea kwa kiwango cha lamiKatumwa akamchafue majaliwa ruangwa. Baada ya kuwaambia watu kuhusu tatizo la umeme, tozo na ubadhirifu uliokithiri ye anamchafua Majaliwa.
Majaliwa keshaifungua ruangwa. Kuna mahakama nzuri ya wilaya, hospitali mbili kubwa za wilaya, chuo cha veta, ofisi ya takukuru, magereza ya wilaya, duka la msd, ambulensi kila kituo cha afya, vituo vya afya vya kisasa vyenye vyumba vya operasheni kwa ajili ya wazazi, shule nzuri zenye tiles na madirisha ya aluminium, uwanja wa mpira, barabara za lami, taa za barabarani, benki za nmb na crdb.
NMB wana jengo la ghorofa ruangwa na wenyeji wanakuambia hawakutegemea kama ipo siku ruangwa kutakuwa na ghorofa. Na kuna hotel ya ghorofa tatu imejengwa.
Zitto kama ameenda kujenga chama chake ruangwa aachane na majaliwa ila kama kaagizwa na team msoga kwenda kutest mitambo dhidi ya majaliwa basi aendelee kufanya kazi aliyotumwa.
Tuanze kumpiga madongo mapema ili asipate fursa ya kupenya ataturudisha kwenye Umagufuli.Kasimu Majaliwa ana vinasaba vy udikteta. Naandika uzi kuelezea juu ya suala hili
Hapo kwenye bold! Niseme wazi, wewe ni mshamba, sidhani kama darasa kuwa na tiles na aluminum ni big deal. Tunataka quality education!Katumwa akamchafue majaliwa ruangwa. Baada ya kuwaambia watu kuhusu tatizo la umeme, tozo na ubadhirifu uliokithiri ye anamchafua Majaliwa.
Majaliwa keshaifungua ruangwa. Kuna mahakama nzuri ya wilaya, hospitali mbili kubwa za wilaya, chuo cha veta, ofisi ya takukuru, magereza ya wilaya, duka la msd, ambulensi kila kituo cha afya, vituo vya afya vya kisasa vyenye vyumba vya operasheni kwa ajili ya wazazi, shule nzuri zenye tiles na madirisha ya aluminium,.
Na umepatia haswaa Ametumwa na ile gang akapime upepo unaelekea wapi !! Ile gang kwa fitna haijambo. !!Katumwa akamchafue majaliwa ruangwa. Baada ya kuwaambia watu kuhusu tatizo la umeme, tozo na ubadhirifu uliokithiri ye anamchafua Majaliwa.
Majaliwa keshaifungua ruangwa. Kuna mahakama nzuri ya wilaya, hospitali mbili kubwa za wilaya, chuo cha veta, ofisi ya takukuru, magereza ya wilaya, duka la msd, ambulensi kila kituo cha afya, vituo vya afya vya kisasa vyenye vyumba vya operasheni kwa ajili ya wazazi, shule nzuri zenye tiles na madirisha ya aluminium, uwanja wa mpira, barabara za lami, taa za barabarani, benki za nmb na crdb.
NMB wana jengo la ghorofa ruangwa na wenyeji wanakuambia hawakutegemea kama ipo siku ruangwa kutakuwa na ghorofa. Na kuna hotel ya ghorofa tatu imejengwa.
Zitto kama ameenda kujenga chama chake ruangwa aachane na majaliwa ila kama kaagizwa na team msoga kwenda kutest mitambo dhidi ya majaliwa basi aendelee kufanya kazi aliyotumwa.
Huo ndo ulikuwa mkakati wa Majaliwa wa kupita bila kupingwa..
“Najua kuna Maafisa wa Usalama wa Taifa hapa kwenye Mkutano wetu Ruangwa, nawatuma wakamwambie Waziri Mkuu kuwa Zitto anasema maliza hofu Ruangwa.
“Watu wako hawawezi kukupenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa kwa sababu tu wako vyama tofauti na wewe,” - Zitto Kabwe akiwa Jimbo la Ruangwa Mkoani Lindi.
Ameongeza kusema: "Nitamweleza Waziri MKuu Kassim Majaliwa kuwa kiongozi ukitaka kupendwa na kukubalika na watu wako, wasaidie kuwainua hali zao na sio kuwaburuza kwa mabavu na vitisho. Kufanya hivyo, kutakuchora kuwa kiongozi katili, watakuogopa na kukuchukia."
Kwetu tanzania ni big deal maana tulizoea kuona hii ni kwa shule za private. Lakini quality education na quality understanding inaanza na quality environment na kila siku tunasisitiza hilo.Hapo kwenye bold! Niseme wazi, wewe ni mshamba, sidhani kama darasa kuwa na tiles na aluminum ni big deal. Tunataka quality education!