Zitto Kabwe: Mwambieni Waziri Mkuu "Watu wake hawawezi kumpenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa"

Hizo ni tetesi za kwenye siasa. Kama ni kuathirika hata Majaliwa alichomewa mali zake nyingi tu ikiwemo ukumbi.

Then kuhusu Magufuli, ni ujinga kuhoji eti alisema Magufuli yupo kazini. Inaonekana ni mtoto ambaye hujui serikali inafanyeje kazi.

Kama kifo si mlitangaziwa kwa utaratibu wa kiitifaki au ulitaka kila kiongozi aseme wewe ulichokizania.?
 
Mimi nashangaa watu wamelishikilia hilo suala la sijui Majaliwa kudanganya kuhusu hali ya Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…