Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kila binadamu ana haki ya kuwa na ndoto yake/zake na kufanya juhudi kuitimiza/kuzitimiza.
Kama wewe huna ndoto basi ni maiti.
La msingi ni je,hiyo ndoto inatimizika na inatimizikaje?
 
Kwa hiyo Tanzania itaingia kwenye rekodi ya kuwa na Raisi mwenye first Lady watatu?
 
propaganda ya kumuita Zitto Mdini itamsaidia sana mbele ya safari

kama lengo lenu kumpoteza mtafutieni sifa nyingine

hawezi kuwa Rais ila kwa sifa ya udini itamfikisha sehemu fulani

rejea ya Mrema 1995, Lipumba 2000 na Dr Slaa 2010

ataokota okota Ruzuku za kusogeza mbele maisha kama walivyofanya kina Mrema, Lipumba na Slaa
Hadi huyu , mchumia tumbo, mtu asiye na msimamo, mdini, mpuuzi naye anataka kuwa Rais? Labda Rais wa Ujiji.
 
Zitto licha ya mapungufu yake angetuliza mapepe yake Chadema na kutaka kumpinduwa Mbowe kwenye mapinduzi haramu akishirikiana na na msaliti mwenzake na malaya Kitila Mkumbo ndoto hii ilikuwa inakwenda kutimia.
Zitto alikubalika sana akavimba kichwa na mattako matokeo yake leo amekuwa entrepreneur politician.

 
Kwani Mwandiga ni nchi ?.Acheni chuki zenu,kila mtu ana haki ya kuwa na ndoto ya kuiongoza Tanzania ktk nafasi ya juu.
 
Akazikwe kando ya kaburi la mama yake kwanza halafu akifufuka ndiyo aje agombee huo urais [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kwa hiyo Tanzania itaingia kwenye rekodi ya kuwa na Raisi mwenye first Lady watatu?
Kama ana wake watatu nampongeza kwa hilo, mwanaume mwenye hela kuwa na mke mmoja ni zaidi ya ujinga, kwa hili Zitto ni mfano wa kuigwa.
 
Bahati mbaya huna uwezo!
 
Zitto hana sifa ya udini, ni siasa chafu tu, kwanza sidhani kama hata anaswali na pesa anayo anazunguka nchi kibao lakini hajawi kwenda Mecca kama nguzo 5 za uislamu zinavyotaka.
 

Mrema, Dr Slaa Lipumba walikuwa viongozi wazuri hapo mwanzo, enzi zao, hasa Mrema. Ni makosa kumlinganisha na huyu mhuni.

Nini kinamsukuma kuchambua 100% negatively awamu ya tano tu na kukaa kimya kuhusu awamu ya sita, Wakati awamu ya tano SSH alikuwa kiongozi mkubwa.

Kimoja kati hivi v au vyote viwili:- Dini, Tumbo. Vipu kuhusu awamu zingine kama ya nne?

Ni kweli sera ya sasa ni kuligawa Taifa kidini, kikanda,kikabila (Sukuma gang), bara na visiwani (uwiano wa pesa), Matajiri na maskini, Mafisadi na watu wa kawaida.

He is not critically thinking on his criticism or balanced in his analysis.
 
Reactions: Qwy
Yaan kwa kauli yake amedhihirisha kuwa hajitambui kabisa.Hajui Kabisa kuwa yeye ,hana sifa Kabisa ya kuwa Rais .Pia hajui Kabisa kuwa hakubaliki Kabisa katika jamii ya watanzania.Anaonekana ni kituko .Huyu ni Savimbi.
Acha kudhalili jina la SAVIMBI, bora umuite KINYESI.
 
Kiwango chake cha unafiki, uzandiki, hila, fitina usaliti
Kama binadamu ni mkarimu, mcheshi na mwerevu. Ni mtu mzuri. Kama mwanasiasa Zitto ni mnafiki, mzandiki, mfitini, mbinafsi na msaliti. Ni mwanasiasa hatari kwa afya ya jamii
 
Reactions: Qwy
Jamiiforams siku hizi inashushwa hadhi na watu kama nyinyi ...hivi kama huna hoja ukipita kimya kimya Kuna shida?
Hapa nadhani wewe ndiyo hauna hoja na ulipaswa kupita kimyakimya, hao watajwa hapo wote Zitto hawezi kupambana kama wakipambanishwa kuugombea urais wa Jamuhuri.
 
Mimi najibu tu Kichwa cha Habari:

Hii ni ishara kwamba nchi yetu tumeporomoka kwelikweli, kiasi kwamba yeyote anaiona nafasi kubwa ya uongozi kama hiyo kuwa inamfaa na ataiweza.
Kwa hiyo, Zitto naye anayo haki yake ya kuota siku moja akiwa Rais wa nchi hii isiyokuwa na viwango maalum kwa nafasi yoyote ile.

Lakini, ukweli na usemwe. Kuna wakati alionyesha dalili kuwa na viashiria vya kuwa kiongozi mwenye maono. Kiongozi mwenye kujali hali za wananchi wake.
Tumekwishaona jinsi watu wanavyoweza kuigiza mambo, na Zitto hana tofauti na waigizaji wengine tuliokwishawaona tayari. Tena yeye huenda akawa mbali zaidi, kwa sababu'he is refined, a bit sophisticated in his approach', kuliko wengine tuliowahi kuwaona wakitumia mabavu.
 
Reactions: Qwy
Kwa hiyo Tanzania itaingia kwenye rekodi ya kuwa na Raisi mwenye first Lady watatu?
Mbona kwa sasa tuko kwenye record ya kuwa na rais ambaye ni mke mdogo, kuna wawili juu yake.
All in all Zitto aendelee kuota kwani ataishia kwenye kuota tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…