He is so desperate to win the majority, ila kwa mshangao yaani kajichimbia shimo ambalo kutoka kwake anahitaji miaka mingi sana. In short Zitto ni idiot na none sense of the way anavyo ji behave. It’s very unfortunate kuwa na kijana mwenye akili za wivu kama Zitto. Na kila takaye onesha kumtukana Dkt Magufuli watanzania watamfuta ktk ulimwengu wa siasa.Zitto Kabwe, just pipe down!
Tofauti ipo.Hana tofauti na Magufuli.
Baba Paskali,Namuunga mkono
Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
Wanabodi, Nimemsikiliza, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe akihojiwa kwenye kipindi cha Mikasi!, (japo kipindi hakikuwa na maswali magumu kivile!, ile hiki ndicho Watanzania wanachokihitaji, vipindi vya maswali magumu type ya "kiti moto" havihitajiki sana kwa audience yetu!. Kiukweli, tukubali...www.jamiiforums.com Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC!
Wanabodi Anza na kumsikiliza Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...www.jamiiforums.com Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
Wanabodi, Baada ya Kisa, Mkasa, na Baada ya Chanzo Kitendo!, Sakata la Mbunge Machachari wa Chadema, Zitto Zuberi Kabwe na chama chake cha Chadema limekuwa na visa na mikasa, vyanzo na vitendo na hatimaye leo, limefikia mwisho, limekwisha rasmi, it's over!, the rest is now a history...www.jamiiforums.com PKiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
Wanabodi, Tangu kuasisiwa kwa ACT, leo ndio mara yangu ya kwanza, mimi Paskali kuzungumzia lolote kuhusu ACT, kwa sababu, mimi ni muumini wa "Umoja ni Nguvu, Utengano ni Udhaifu". Naamini ushirikiano wa dhati wa upinzani na muungano wa wapinzani kuwa kitu kimoja na kusimamisha mgombea mmoja...www.jamiiforums.com
Aendelea kuota, maana mara zote hakuna ndoto ambayo huwa kweli.
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga hatua mbele, lakini siwezi kusema moja kwa moja kuwa nitagombea Urais waka 2025
“Uamuzi wa kugombea unatokana na kudra za Mwenyezi Mungu chama lazima dhamana na baadaye wananchi watoe dhamana.
“Pia kuna kilio cha ushirikiano wa vyama vya upinzani ili kupambana dhidi ya Chama Cha Mapinduzi, kama tutashirikiana inawezekana mgombea nikawa mimi au nisiwe akawa mwingine,” Zitto
Video: Mwananchi
Hakuna kitu hapo, hana sifa ya kuwa Rais, hivi vingine ulivyoandika ni visingizio tu.Zitto ni kiongozi makini Sana na anafaa kwa nafasi ya urais...tatizo chadema na sukuma gang Wana chuki binafsi kama za mwenda zake...
Noted mkuuTofauti ipo.
Zitto, pamoja na kutokuwa na elimu ya kiwango cha Ph.D. kama alichokuwa nacho Magufuli, Zitto ni mwelewa wa mambo mbalimbali ya kidunia.
Kwa mfano. Zitto hawezi kudai kuwa COVID-19 haikuwepo Tanzania na kuhimiza watu wakajifukize.
Hata nguchiro mzikwa wa kaburi leo anaitaka ikulu
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga hatua mbele, lakini siwezi kusema moja kwa moja kuwa nitagombea Urais waka 2025
“Uamuzi wa kugombea unatokana na kudra za Mwenyezi Mungu chama lazima dhamana na baadaye wananchi watoe dhamana.
“Pia kuna kilio cha ushirikiano wa vyama vya upinzani ili kupambana dhidi ya Chama Cha Mapinduzi, kama tutashirikiana inawezekana mgombea nikawa mimi au nisiwe akawa mwingine,” Zitto
Video: Mwananchi
Duu! Watu mna hasira!😛Acha kudhalili jina la SAVIMBI, bora umuite KINYESI.
Yupi aliyedai kuwa COVID 19 haukuwepo Tanzania? Huwa unafuatilia mambo kweli wewe? Kuna wakati ni bora kukaa kimya!Tofauti ipo.
Zitto, pamoja na kutokuwa na elimu ya kiwango cha Ph.D. kama alichokuwa nacho Magufuli, Zitto ni mwelewa wa mambo mbalimbali ya kidunia.
Kwa mfano. Zitto hawezi kudai kuwa COVID-19 haikuwepo Tanzania na kuhimiza watu wakajifukize.
Hakuna mahali magufuli aliwahi sema corona haipo.Tofauti ipo.
Zitto, pamoja na kutokuwa na elimu ya kiwango cha Ph.D. kama alichokuwa nacho Magufuli, Zitto ni mwelewa wa mambo mbalimbali ya kidunia.
Kwa mfano. Zitto hawezi kudai kuwa COVID-19 haikuwepo Tanzania na kuhimiza watu wakajifukize.
Unachotakiwa ni kuangalia ni Katiba inaruhusu?Ccm wameharibu nafasi ya urais, wameifanya ionekane ni rahisi tu.