Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

Kumbe hawajaanza kampeni siku 24 wataweza kuzungukia Tanzania nzima, wanaanchi karibuni ccm ni chama kisichobabaisha
 
Wamemchinjia baharini siasa hizi kweli hazina muamana usisahau kumpigia kura yako mh magufuli maana yeye anatufufaa hawa wengine ni janja janja View attachment 1577547
Sema Jiwe anakufaa wewe na familia yako bila kuwasahau Mataga wenzio. Lakini kwa watanzania wengi jiwe hatakiwi kuwa Rais hata kwa kutania tu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Sawa ngoja tusubiri

Ila naimani watafeli tu
 
Hii nchi haina hati miliki kwa ccm lazima tumuondoe sultani ccm tarehe 28
 
Niguse ninuke. Nobody thought it would have been happened in this way.
 
Kwa mikakati ipi?

Hii hii ya ACT na chadema?
Kwa mikakati ya ccm maana nimesikia mmetoa maagizo kwa Dr.mahera wa tume ya Taifa ya uchaguzii kuwa ccm inatakiwa ushindi usiopunguaa asilimia% 90
 
Nimekwambia hata kwa kutania huyo JIWE hafai kuwa Rais, hivi kati ya Wanafunzi, Wafanyakazi, Wakulima na Wafanyabiashara , nani anaweza mpa kura Jiwe?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…