Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Porojo tu!
Rais ni JPM hizi nyingine ni sarakasi za watoto
Hata watoto wanaweza fanya maajabu kwa watu wazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Porojo tu!
Rais ni JPM hizi nyingine ni sarakasi za watoto
Vipi kachero mbobezi?
Sema Jiwe anakufaa wewe na familia yako bila kuwasahau Mataga wenzio. Lakini kwa watanzania wengi jiwe hatakiwi kuwa Rais hata kwa kutania tuWamemchinjia baharini siasa hizi kweli hazina muamana usisahau kumpigia kura yako mh magufuli maana yeye anatufufaa hawa wengine ni janja janja View attachment 1577547
Mmeshamaliza kupanga baraza la mawaziri?
Sawa ngoja tusubiriKiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo , Zitto Kabwe amesema vyama vya upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar.
Zitto ameongeza kuwa Oktoba 3, 2020 watatangaza ni nani hasa atasimama kama Mgombea Urais katika mkutano wa hadhara utakaohusisa CHADEMA, ACT Wazalendo na vyama vingine vya upinzani.
Amesema ACT-Wazalendo wameshajadiliana na wameshawasilisha mapendekezo yao kwa CHADEMA na baada ya pande zote kukamilisha mazungumzo watatangaza makubaliano yatakayofikiwa.
Ngoma ya watoto haikeshiHata watoto wanaweza fanya maajabu kwa watu wazima.
Chama cha Majambazi, mwaga pombe kura kwa Mh LissuKumbe hawajaanza kampeni siku 24 wataweza kuzungukia Tanzania nzima, wanaanchi karibuni ccm ni chama kisichobabaisha
Kwa mikakati ipi?Hii nchi haina hati miliki kwa ccm lazima tumuondoe sultani ccm tarehe 28
Niguse ninuke. Nobody thought it would have been happened in this way.Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo , Zitto Kabwe amesema vyama vya upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar.
Zitto ameongeza kuwa Oktoba 3, 2020 watatangaza ni nani hasa atasimama kama Mgombea Urais katika mkutano wa hadhara utakaohusisa CHADEMA, ACT Wazalendo na vyama vingine vya upinzani.
Amesema ACT-Wazalendo wameshajadiliana na wameshawasilisha mapendekezo yao kwa CHADEMA na baada ya pande zote kukamilisha mazungumzo watatangaza makubaliano yatakayofikiwa.
Una roho ngumu km kengePorojo tu!
Rais ni JPM hizi nyingine ni sarakasi za watoto
Hata mkiungana wapinzania wote Ikulu mtaisikia tu!Kimenukaaaaa, mwamba ameshapita.. Mwanamayu akachunge ng'ombe sasa.
Kwa mikakati ya ccm maana nimesikia mmetoa maagizo kwa Dr.mahera wa tume ya Taifa ya uchaguzii kuwa ccm inatakiwa ushindi usiopunguaa asilimia% 90Kwa mikakati ipi?
Hii hii ya ACT na chadema?
Nimekwambia hata kwa kutania huyo JIWE hafai kuwa Rais, hivi kati ya Wanafunzi, Wafanyakazi, Wakulima na Wafanyabiashara , nani anaweza mpa kura Jiwe?Yule kilema anakufaa wewe na familia yako pia ila mimi siwezi kumpa uraisi kilema ambae kajipatia ukirema baada ya kudhulumu pesa kwa wajanja wenzie ambao waliamua kumfunza adabu akasingizia serikali, mchague magufuli kwa maendeleo ya tanzania naomba kura yako iende kwa magufuli
Umejuaje labda mzee wa ubwabwa nae amejadiliana nao na ndo atakayetangazwaChama cha Majambazi, mwaga pombe kura kwa Mh Lissu
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ngoma ya watoto haikeshi